Habari wadau wa Jamii forums.Nilikuwa naomba kuuliza ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kimoja kikiwa juu kingine chini pamoja na jiko, sebule, dining na choo inaweza kugharimu shilingi ngapi mpaka nyumba kusimama bila finishing yoyote bila magrill wala frame za milango yaani jengo tu.
Nimeambatanisha picha kwa rufaa(reference) zaidi
Nimeambatanisha picha kwa rufaa(reference) zaidi