Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
2,762
8,321
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.

=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
 
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nonowhat is in for my sperms....uyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe...

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free

Eitherway anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance nikichaa tu naww umesema awe na akil timam
Ahahahahahaaa sasa kumpa na kupiga puli vipi?
 
Tunakata mawasiliano? Mtoto atapewa ubini gani? Nitaruhusiwa kuwa namtembelea? Ukinogewa na "vita" utataka mtoto mwingine? Ina maana hauna chembe hata "unusu-kasarobo" ya wivu? Nina mke na watoto ujue? Hata hivyo, kila la kheri bibie mzuri. Tatizo kwangu ni umri. Mbele ya umri, 40 yangu kuna +++ za kutosha.
 
Pole kwa yote uliyopitia Mariposa ni hatua nzuri uliyofikia.. Mimi nizidi tu kukuombea na kukutia moyo! Kuna baadhi ya taasisi wanauza mbegu hivyo unaweza kwenda huko!
Hofu yangu ni future ya mtoto atakayezaliwa..! Udogoni sio tatizo sana lakini kadiri atakavyokua hasa maisha ya shuleni akisikia wenzake wakisimulia kuhusu baba zao wakati yeye hana/hamjui anaweza kuathirika kisaikolojia na kutengeneza tatizo jipya

Kwa hatua ya kutaka kubeba mimba tena bila kupandikiza mbegu ni hatua nzuri sana kwakuwa inaweza kumaliza tatizo ulilonalo! Bila kutegemea wala kupanga mimba ikishatungwa hisia zinaweza kuanza kubadilika na kuanza kumhitaji mzazi mwenzako awe karibu nawe.. Mimba huja na mengi

Ikikutokea hivyo na huyo mzazi mwenza mtarajiwa akaku handle vema utakuwa umemaliza tatizo moja kwa moja.. Ila akizingua ndio basi tena

Yote kwa yote NAKUOMBEA
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom