Nahisi kama nimeingizwa chaka

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
2,105
3,068
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-

Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.

Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki. Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili.

Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.

Je, inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
 
Kosa lako ni kumpa moyo wa kuwa nae bega kwa bega ,ni kosa la jinai kukubali ujauzito kirahisi rahisi ivo, mnabambikiwa mimba kizembee,
Google ipo inasaidia conceive calender,
Je ulifanya nae mapenz siku za hatari? Au unajuwa ukifanya tu ni mimba?,
Sasa ni hivi umebambikiwa na uyo mwanamke atakuwa na kadi mbili au tatu
Nawe muulize mbona miezi tisa imepita!?
 
Kuna rafiki yangu iliwahi kumtokea tena miezi hiyo hiyo
Alikutana na demu wake mwezi wa 5, demu baadae akawa mjamzito akamuambia jamaa ni mimba yake. Jamaa akapiga hesabu kuwa demu atanifunvua mwezi wa Pili.
Demu kaja kujifungua mwezi wa 4, kwa maana baada ya miezi 11 na sio 9.
Watu wakamuambia jamaa shtuka umeibiwa, na bahati mbaya mtoto hafanani nae kabisa. Jamaa alijifungia ndani wiki nzima analia tu, wahuni washamsaidia
 
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.
Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki.
Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili. Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.
Je inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
Mimba sio yako kabisa...... Ingekua Ina miez Kumi kweli sa hv alitakiwa awe hospital kuanzishiwa uchungu
 
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.
Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki.
Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili. Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.
Je inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
Swali..mimba anayo au hana?
Kuna mimba zinafikisha miezi 10
 
Kosa lako ni kumpa moyo wa kuwa nae bega kwa bega ,ni kosa la jinai kukubali ujauzito kirahisi rahisi ivo, mnabambikiwa mimba kizembee,
Google ipo inasaidia conceive calender,
Je ulifanya nae mapenz siku za hatari? Au unajuwa ukifanya tu ni mimba?,
Sasa ni hivi umebambikiwa na uyo mwanamke atakuwa na kadi mbili au tatu
Nawe muulize mbona miezi tisa imepita!?
Mkuu hata Sielewi kama zilikuwa siku za hatari...
 
Back
Top Bottom