UJASUSI MACHO MANNE!
Anaandika, Robert Heriel.
Nilianza kuvutiwa na Ujasusi nikiwa Kidato cha pili huko Makanya, Kwa mara ya Kwanza Neno Ujasusi nililipata miaka hiyo nikisoma Biblia, kisa cha Kwanza cha Ujasusi kilichowazi nilikipata kwenye Kisa cha Yusufu alivyowaambia Ndugu zake wamekuja...