ujambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Chuki za kisiasa isiwe sababu ya wapinzani kupakazia wanaCCM ujambazi. Unyanyangnyi wa kutumia siraha ni serious offence

    Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko. Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia. Tuweke...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka matukio ya ujambazi miaka ile Moshi na Arusha, njoo tukumbushane mawili matatu

    Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea. Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico? Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro. Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
  4. C

    JamiiForums Tanzania TRA kwenye kodi ya magari wanafanya "wizi" wa wazi kabisa

    Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa, Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe Japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ujambazi wa polisi liwe fundisho kwa Serikali ya Rais Samia

    Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
  6. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamenifanyia ujambazi kwa mara ya pili

    Thread was deleted
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
  8. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mauaji Dar, ni Ujambazi, Kisasi au Ugaidi? Tujifunze kitu

    Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
  9. chase amante

    JamiiForums Tanzania Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

    Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo. Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo. Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tayari Sabaya amechomoka, kama alipewa maagizo toka juu ujambazi anahusika vipi?

    Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu. Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha aliruhusu huu uhalifu? Kwa nini magari ya serikali yalitumika kufanya uharifu? Kwa nini Sabaya...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ujambazi ulianza kurudi. Je, umepotea tena?

    Alipoingia Rais mama Samia tukasikia matukio ya uhalifu yamerudi kwa kasi..sasa kwa kuwa hatuna takwimu halisi ba nyie ndo jamii mnaonaje huko matukio yameendelea kushamiri au kumetulia
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

    Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni. Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kati ya Mei na Juni 2021 tumekamata wahalifu 5,429

    Taarifa kwa vyombo vya habari.
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  15. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
  16. Leak

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi #MwananchiUpdates Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Ujambazi: Waziri Mkuu asema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kwenye ulinzi

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa wimbi la Ujambazi hasa DSM ni kukomoana ndani ya Jeshi la Polisi?

    Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vijiulize hili swali kwa makini. Hii hali si ya kawaida na sisi wananchi tunaiona kwa macho yetu. Hili wibi la ujambazi lililoibuka hasa baada ya Mama Samia kuingia madarakani na kutaka mabadiliko, hasa Dar es Salaam, kuna nini nyuma yake? Tunajua kuwa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Polisi kupambana na ujambazi kwa maelekezo ya wanasiasa inakupa tafsiri gani?

    Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wakanyeni watoto wenu,mtawazika kwa kujihusisha na ujambazi

    Jana nilipitia taarifa ya Jeshi la Polisi Dar kuhusu ujambazi na kukamatwa kwa majambazi. Lakini leo nimeambiwa kuna vijana wanashiba bangi wanajipanga hadharani kwenda kuiba huku mchana kutwa wakiwa kwenye bar na vijiwe vya bangi wakibugia vilevi. Niwaomba wazazi, msiwalazimishe Polisi...
Back
Top Bottom