ujamaa

Ujamaa (lit. 'familyhood' in Swahili) was a socialist ideology that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after it gained independence from Britain in 1961.More broadly, ujamaa may mean "cooperative economics", in the sense of "local people cooperating with each other to provide for the essentials of living", or "to build and maintain our own stores, shops, and other businesses and to profit from them together", as in Kwanzaa.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Pamoja na matatizo yake huenda Nyerere alihujumiwa vibaya sana katika sera yake ya Ujamaa na Kujitegemea na wazungu wa Magharibi

    Nimesoma hili andiko la huyu mzungu akimtwisha Nyerere mambo yote mabaya tangu Tanzania inapata uhuru mpaka sasa likanifikirisha sana hasa nikiangalia Marekani inachofanya Cuba na Iran kwa sasa, Andiko pia limejaa chumvi nyingi sana ikiwemo kwamba Tanzania tunategemea chakula cha kuagiza...
  2. Allen Kilewella

    Laana ya Ushoshalisti, Ukomunisti na Ujamaa

    Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika. Viongozi hulazimisha kuabudiwa. Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi. Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme. Wananchi wa kawaida hufukarishwa...
  3. Kiranga

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of Tanzania’s founding father, Julius Kambarage Nyerere. Twenty-six years now. I remember the day he died...
  4. PROFOUND NOTION

    Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

    Cuba Vietnam Tz Zambia North korea Laos Cambodia Mozambique Albania Na wengine sana tu.. Vilichezewa foul bila kujijua kuwafaiddisha wao pekee. UKOMONISTI NI USHETANI
  5. Lycaon pictus

    Hali ya maisha ilikuwaje wakati wa ujamaa wa Nyerere?

    Ukisoma stori za wakati wa ujamaa kwenye nchi nyingine kama China unakutana na habari za kutisha sana. Shida kubwa ilikuwa njaa isiyoisha, kukamatwa na kuuawa na mateso mengi mengi. Humu jukwaani wapo wengi wakiishi wakati wa Ujamaa wa Nyerere. Tusimulieni hali ilikuwaje Ili tusije poteza...
  6. Yoda

    Mwl. Nyerere kujilimbikizia madaraka haikuwa shida kubwa aliyotuachia bali ujamaa na kujifungia kwenye chungu

    Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
  7. Carlos The Jackal

    Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  8. Nyani Ngabu

    Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika. Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC. Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere. Isikilize/ iangalie halafu...
  9. TheForgotten Genious

    Manara: Mimi si m'socialist, ni mjamaa

    Manara: Mimi si socialist, ni mjamaa. Ona anavyochanganya madesa.
  10. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  11. Yoda

    Kati ya mfumo wa Ukomunisti/ ujamaa na ubepari mfumo gani undugu unawatala zaidi?

    Huwa naona watu wengi wananasibisha ujamaa na undugu, upendo pamoja na raia kujaliana huku wakinasibisha ubepari na kutokojaliana na ukatili. Haya yanaweza kuwa mawazo potofu sana ukifuatilia jinsi Ukomunisti/ujamaa ulivyotenda ukatili mkubwa sana huko China, Russia, Cambodia, Romania, Vietnam...
  12. P J O

    Tunaegemea upande gani, ujamaa au uliberali?

    Tanzania 🇹🇿 tunabahati ya kuishi katika Nyakati mbili za mifumo ya utawala, yani katika UJAMAA/Communism na Liberal/Liberali yani kidemocrasia. Mifumo yote Ina mazuri yake na mabaya Yake. Kua katika mrengo usieleweka pia una athiri nchi kiuchumi katika upande hasi nitaeleza chini. Kua Liberali...
  13. Mhafidhina07

    hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  14. Kaka yake shetani

    Watu wengi tunazungumzia sana sera ambazo ubepari kuwa zilikuwa mbaya ila sera za ujamaa zinatisha sana

    Sera za ubepari zinazungumziwa sana sababu ya wivu wa watu wanaochukia sera hizo kutoka marekani.ila sera za ujamaa zinatisha sana zilipotokea urusi. nchi nyingi zilizopitia sera za ujamaa zijawai kuwa sawa na hata kama zipo kwenye ubepari basi ni ule wakujaribu sababu ujamaa unaendelea kwenye...
  15. Yoda

    Sababu zipi zilimfanya Mwl.Nyerere kuiingiza nchi katika ujamaa na chama kimoja?

    Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967. Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye...
  16. Ugwanzee

    Natafuta mpendwa. Iwe katka mahusiano, urafiki, ujamaa, udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  17. Lycaon pictus

    Nyerere akieleza kwanini ujamaa ulifeli

    https://youtu.be/JGzC8AhERU8?si=Jen_Ou1-W6qGL51S
  18. Mwande na Mndewa

    CCM Ujamaa vs CCM Upebari

    CCM imara ni imani ya kiitikadi ndani ya mioyo ya Wananchi Watanzania,Awamu ya kwanza ya CCM iliyoongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kijamaa,kiongozi wa CCM akifanya ziara eneo fulani, basi Wananchi wanyonge walioonewa waliamini amekuja mkombozi wetu, na kwa hakika...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
  20. MALCOM LUMUMBA

    Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
Back
Top Bottom