stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 812
- 1,753
Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo:
- Kujipenda
- Kujithamini
- Kujipa kipaumbele
- Kutoifikiria sana kesho
- Kuachana na yaliyopita
- Kufurahia yaliyopo
- Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda