stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 829
- 1,770
Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji
1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi
Tambua kipato chako na angalia matumizi yako yote.
Lenga kutumia chini ya unachopata.
Tenga asilimia kwa kila eneo: matumizi, akiba, na uwekezaji.
2. Tengeneza Akiba ya Dharura
Weka akiba ya miezi 3–6 ya gharama zako muhimu (chakula, kodi, umeme).
Hii inalinda usiende kukopa kila unapopatwa na matatizo.
3. Lipia Madeni Yenye Riba Kubwa
Anza na madeni ya mikopo au kadi za malipo zenye riba kubwa.
Badili tabia ya kukopa hovyo – ni adui wa uhuru wa kifedha.
4. Anza Kuweka Akiba ya Kudumu (Automatic Saving)
Tenga sehemu ya kipato kila mwezi (angalau 10%_ 20%) kwa ajili ya uwekezaji na malengo ya baadaye.
Tumia akaunti ya akiba au mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, M_Wekeza nk
5. Anza Kuwekeza Mapema na Mara kwa Mara
Wekeza kwenye:
Mifuko ya pamoja
Hisa kwenye DSE
Hatifungani
Ardhi au biashara ndogo
Wekeza kwa kutumia utaratibu wa kila mwezi (e.g. laki moja kila mwezi kwa miaka 10+).
6. Tengeneza Vyanzo Zaidi vya Kipato
Usitegemee chanzo kimoja tu.
Tengeneza biashara, uwe na miradi, au ingia kwenye ubia wenye tija.
Uhuru wa kifedha si kuwa na pesa nyingi, bali kuwa na uwezo wa kuchagua maisha unayotaka bila wasiwasi wa pesa.
Kwenye hizi ha
Karibu kama wewe ni mfanyabiashara na uko serious unataka kupata faida unatakiwa kuchukua bidhaa zako kwa wauzaji wa jumla wanaouza bei za viwandani kama uko china hata kama unatoka mkoani hiki kitabu kitakusaidia upate namba za machimbo yatayokupa faida mara dufu
NJOO DARASANI
UTAPATA PIA ZAWADI YA VITABU 3 VYA MACHIMBO YA BIDHAA YA JUMLA KALIAKOO 2025
1.viatu vya kike aina zote OG
2.viatu vya kike vya Bei rahis vile ambavyo sio og
3.vitenge wax,vikoi+khanga
4.Nguo za kike quality magauni, na zile za kawaida
5.nguo za ndani chupi,boxer,brazia,Tait
6.Nguo za watoto pamoja na viatu me+ke,t-shirt,mashat,gauni,suruali,
7.pochi quality
8.nguo za kiume t-shirt,mashat,suruali,pens pamoja na viatu
9.oil perfume, deodorant,body slash and spry
10.hereni,cheni,saa
11.night dress
12.midoli ya nguo
13.shuka,duvet,pazia
14.Stationary
15.Vifaa vinavyotumia umeme
16.Vifaa vya simu na simu
17.Soksi
18.mitandio
19.Yeboyebo
20.Saa( smart)
Nipigie au whatsapp 0743 257 669
Kama wewe ni mfanyabiashara wa ambaye unachukuaga mizigo yako kariakoo group la machimbo ya bidhaa kaliakoo
WhatsApp Group Invite sita uko hatua gani kuelekea uhuru wa kifedha?