uingereza

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 92 ahukumiwa kwa kesi ya ubakaji na mauaji ya miaka 60 iliyopita Uingereza

    Mwanaume Mwingereza mwenye umri wa miaka 92 amehukumiwa nchini kwa kosa la ubakaji na mauaji yaliyotokea karibu miaka 60 iliyopita, katika moja ya kesi kongwe zaidi za jinai nchini Uingereza Ryland Headley alipatikana na hatia na mahakama ya Uingereza kwa kumbaka na kumuua Louisa Dunne mwenye...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Vita ya serikali na kanisa; je, Tanzania ina cha kujifunza kutoka Uingereza

    Tarehe Mei 28 hadi Juni 2, 1982 itakumbukwa kwa Papa John Poul II, kuwa Papa wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutembelea taifa la Uingereza tangu mgawanyiko wa Reformation 1530, uliosababisha kuundwa kwa Kanisa la Anglikana, yaani Church of England. Mojawapo ya matukio muhimu katika ziara hiyo...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

    Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza azungumza na Netanyau na kusema Israel has the right to self defense

    Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on Friday, Starmer’s spokesperson says. “The prime minister was clear that Israel has a right...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Uingereza yatishia kumshtaki Roman Abramovich

    Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki nchini Uingereza. Kiwango hicho cha fedha ni malipo ya kuuzwa kwa Chelsea Mwaka 2022, ambapo...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uingereza liko kwenye hali ya tahadhali ya kivita

    Jeshi la Uingereza liko kwenye "utayari wa kupigana vita" na linasema kuwa liko chini ya tishio moja kwa moja na vikosi vya uhasama/Maadui.
  10. Saba_Spare supplies

    JamiiForums Tanzania Spare Hadimu za magari ya Uingereza, Sweden na Germany

    Ningependa tu discuss. Ni spare ya brand ya gari ya Uingereza, Ujerumani na Sweden inakusumbua kuipata na umechukua hatua gani ikashindikana.
  11. MO11

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Hispania ni mbovu kulinganisha ya Uingereza

    Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani. Huo muda hupati uingereza yani weekend...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Wakuu wa Israel na Uingereza wabwatukiana!

    Uingereza kusitisha mazungumzo ya biashara huria na Israel; Wizara ya Mambo ya Nje yasema hatua hiyo 'haitaizuia' Israel katika 'pambano lake na Magaidi' Kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy mapema leo la kusimamisha kwa Uingereza mazungumzo ya makubaliano ya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania kushiriki Jukwaa la Uongezaji thamani madini Uingereza

    Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...
  15. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha wanamgambo wa Ukraine walioalikwa Uingereza wametorokea mitaani huko London

    Kikundi cha Wanamgambo wa Ukraine waliokwenda kushiriki graride la Victory in Europe Day huko London wametorokea na kuingia mitaani hawataki kurudi Ukraine kusulibiwa na Vikosi vya Wachechinyia 🇷🇺 A group of Ukrainian servicemen who were invited to take part in the ceremonial parade in honor of...
  16. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania "Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka – Mchezo wa Dunia Unabadilika"

    Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa. Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani. 1. Kwa Nini Marekani Anamlinda...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi. Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapata meya wa kwanza huko Brighton asiyejua Kiingereza!

    Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Wanaosikiliza Muziki na kutazama Video kwenye Usafiri wa Umma bila 'Headphones' kupigwa faini ya takriban Tsh. 3,589,596

    Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni kukabiliana na tabia zisizo za kiungwana na kulinda haki ya wengi wanaotamani safari tulivu. Serikali imesema...
  20. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Leeds Utd pamoja na Burnley zapanda Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26. Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
Back
Top Bottom