uingereza

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jiwe chini ya kiti cha Mfalme wa Uingereza

    Kiti hiki ndicho alichoketi Bi. Elizabeth II wakati anatawazwa kuwa Malkia wa Uingereza mnamo mwaka 1953. Kimetumika kutawazia wafalme na malkia waliotawala dola ya uingereza tangu mwaka 1300. Kinaitwa kiti cha mfalme Edward "King Edward's Chair". Ukiangalia vizuri hapo kitini, utaona kuna...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Balozi wa zamani wa Uingereza nchini Myanmar akamatwa Yangon

    Maafisa nchini Myanmar awamemkamata balozi wa zamani wa Uingereza nchini humo na mumewe, mchoraji maarufu ambaye wakati mmoja aliwahi kuwa mfungwa wa kisiasa. Utawala wa kijeshi wa Myanamr umesema wanatuhumiwa kwa kukiuka sheria za uhamiaji. Vicky Bowman, ambaye alihudumu kama balozi kuanzia...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza 🇬🇧 🇬🇧 kwawasukuma wanawake wa UK 🇬🇧 🇬🇧 kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

    Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

    Nawasalimu kwa jina la JMT, na ni matumaini yangu Kazi inaendelea. Mwezi uliopita China ilitoa certificate of clearance kwa makampuni zaidi ya 300 ya Tanzania kuingiza na kuuza bidhaa mbalimbali Nchini mwao bila kikwazo na ushuru wowote. Uingereza nayo imeungana na China kwa kuruhusu asilimia...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uingereza kufuta kodi za bidhaa kutoka Nchi Maskini 65 Duniani

    Serikali ya Uingereza imeanzisha mpango unaolenga kufuta kodi ya bidhaa mbalimbali zinazoingia nchini humo kutoka nchi maskini 65 duniani. viatu, nguo na baadhi ya matunda yasiyo zalishwa nchini humo ni miongoni mwa bidhaa zitakazo nufaika na mpango huo. Mpango huu unaotarajiwa kuanza rasmi...
  7. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

    Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Bustani yenye Mimea ya Sumu iliyopo Uingereza

    Bustani ya sumu iliyopo Alnwick huko Northumberland, Uingereza, ina zaidi ya mimea 100 yenye sumu, ya kulewesha na ya mihadarati. Na imeruhusiwa kutumiwa na umma yaani watu wote wanaruhusiwa kutembelea maeneo hayo ya bustani kwa kuzingatia taratibu na sheria za eneo hilo. Ishara kwenye lango la...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Hofu ya Kudukuliwa yakwamisha kura ya kumpata mrithi Wa Boris Johnson

    Upigaji kura kwa njia ya Mtandao katika Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Conservative ili kumpata Mrithi wa Boris Johnson umecheleweshwa baada ya wataalamu wa Mtandao wa Serikali kuibua wasiwasi juu ya uwezekano wa udukuzi wa kura Wataalamu hao wamedai kuwa Wadukuzi wanaweza Kubadilisha idadi...
  11. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

    Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

    Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo.. 1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana...
  13. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 9 kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola - Uingereza.

    Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Joto Uingereza kufikia nyuzi joto 43C Julai 19, 2022

    Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo. Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C. Source...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Je, Uingereza iko responsible na Wahindi wa Tanzania?

    Nauliza hivi kwa maana wao (Waingereza) ndiyo waliowaleta Wahindi Tanzania kutokea India/Pakistani, nakumbuka pia wakati wa Amini Uganda wengi wa Wahindi walikimbilia Uingereza, Kanada au Australia (English commonwealth). Sasa je, Uingereza inawajibika na maisha ya Wahindi hapa Tanzania? Kwa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Logically tu inaingia Akili utoke Kucheza Uingereza tena Newcastle United uje Machafuko Mafurilo FC ya Tanzania?

    Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo. Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022. Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waliougua COVID-19 Uingereza wafikia watu milioni 2.7

    Maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 yanaendelea kushika kasi ungereza ambapo Ofisi ya Takwimu (ONS) imesema kuwa takribani watu milioni 2.7 wamepata maambukizi. Maambukizi hayo yameongezeka kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron vinavyotambulika kitaalamu kwa majina ya BA.4 na BA.5. Source...
  19. mawaridi

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
Back
Top Bottom