uhuru

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kuboresha miundombinu mazingira gerezani hakuondoi kiu mfungwa kuwa huru , maendeleo makubwa ya kwanza yaliletwa na wakoloni lakini tulidai uhuru

    Watawala wengi wanashindwa kulielewa hili Makuburu walijenga miji mkubwa Sauth lakini bado walikataliwa Gadafi aliwapa Hadi huduma bure lakini alishindwa kujua wakati wa kuwapa uhuru wakamtoa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kila Agosti 15 kila mwaka taifa la Congo Brazzaville inasherehekea siku uhuru waliopata mwaka 1960?

    Wakuu ==== Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza. Mnamo Agosti 15, 1960, Jamhuri ya Kongo, inayojulikana pia kama Congo-Brazzaville, ilipata uhuru wake kutoka kwa Ufaransa...
  4. agudev

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru unahifadhiwa wapi baada ya kutembezwa?

    Habari za muda huu wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni uhuru wa watu ambao haupo duniani kote

    Huwezi kuwa na mfumo wa demokrasia kwenye mfumo wa ubebali au ubeberu,ni nchi gani hiyo uingereza,urusi,marekani,ujeruman,nk? Kiuhalisia nchi zote duniani zinafuata mifumo ya kidini ambayo huitaji pesa tu na si vinginevyo Ukiondoa mifumo ya ubebari,ubeberu na dini utabakiwa na mfumo wa UJAMAA...
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Burundi: Miaka 63 ya uhuru marais 13

  7. M

    JamiiForums Tanzania Family time ya kiafrika ni baba asiwepo ndio watoto wanakuwa huru, Baba ukiwepo akijumuika kunakuwa hakuna uhuru

    Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k. Mama ndie anaonekana kufaa zaidi kwenye family time iwe ni kukaa pamoja sebuleni, kula pamoja, kwenda out...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masheikh Wanasiasa Wazalendo Walipigania Uhuru wa Tanganyika

    MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afrika ukifanyika uchaguzi wa uhuru ni Marais wachache watabaki kwenye viti vyao kina Ibrahim Traoré wa Burkina Faso na Hichilema wa Zambia

    Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iramba: Mwenge wa uhuru wazindua miradi ya tsh. Bilioni 7.8

    IRAMBA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA TSH. BILIONI 7.8 Mwenge wa Uhuru 2025 Umeendelea na Mbio zake Wilayani Iramba Mkoani Singida ambapo Miradi Saba yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 7.8 imekaguliwa, Kuwekwa Mawe ya Msingi na Kuzinduliwa Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Jinsi vyuo vikuu barani Afrika vilivyo poteza uhuru wao wa masomo

    Je, hali na hatima ya uhuru wa kitaaluma katika vyuo vikuu vya Afrika ikoje? Ni kwa jinsi gani na kwa nini vyuo vikuu barani Afrika vimepoteza uhuru wao wa masomo hapo kwanza? Je, ni aina gani zinazoendelea za mapambano na upinzani wa kurejesha uhuru wa kitaaluma katika elimu ya juu barani...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini darasani hatujafundishwa kuhusu wanawake hawa walioshiriki kupigania Uhuru wa Tanganyika?

    Wakuu, Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana. Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955 Kutoka kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, maarufu Mama Sakina, Bi. Titi Mohamed, kushoto wa kwanza ni...
  14. PLOII

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

    Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050 inaanza kwa kujidanganya!!!! eti kuna demokrasia na uhuru wa mahakama!!!!

    Hapa Mbowe kasema ukweli https://youtu.be/lJ_VHuVjKnc?si=MhaK0MDr-HUhBDeW
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anunua ambulance mpya 700 tofauti na ambulance 540 za tangu uhuru

    Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia. Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tulishasema kwamba Tanganyika aikumwaga damu kupata uhuru wake, ila hiyo sio sababu kwamba watanganyika hawawezi kuipigania nchi Yao. Kiko wapi Sasa!!

    Kiko wapi Sasa!!? Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!? Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo) Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

    Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika. Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano...
  20. Noel france

    JamiiForums Tanzania Tukifanikiwa kuipatia uhuru Tanganyika, kuna watu tunapaswa kuja kuwachapa viboko. Kama wafuatao na wa mwisho ni Rais

    Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika. Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima. Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya kama Taifa halafu bado anaongea lugha nyepesi ambayo watawala wanapuuza. Kwa muda huu tunahitaji zaidi...
Back
Top Bottom