uhuru

  1. Roving Journalist

    Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  2. Just Pray

    TEC: Shambulio dhidi ya padre Kitima lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa kusema na kutenda kadiri ya wito wake

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na...
  3. Yoda

    Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  4. H

    Muongo huu ni muongo wa uhuru wa kweli wa Afrika

    Habarini, Katika muongo huu Afrika inasimama tena na kutaka uhuru wa kweli na kupinga viongozi/manabii wa Afrika kuuwawa tena kwa maslahi ya wazungu. Kila kiongozi mwema wa Afrika atakayeuawa kwa hila za u.s.a na ufaransa basi malipizo yake ni kupitia mauaji ya vibaraka wao na uteketezaji wa...
  5. Echolima1

    Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

    Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana...
  6. and 998 others

    Mkutano wa Uhuru wa Kitaaluma ( Academic Freedom) UDSM 29/4-2/5

    Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
  7. BLACK MOVEMENT

    Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  8. Just Pray

    Waziri Prof. Kabudi: Tunatambua mchango wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru kwa ustawi wa demokrasia na maendeeo

    "Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ni siku ambayo dunia inatafakari nafasi ya vyombo vya habari katika jamii zetu, tunatambua mchango mkubwa wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru huu muhimu kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo. Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi

    "2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja...
  10. J

    Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  11. The redemeer

    Wenye kuhitaji madarasa ya ukuaji wa kiroho ili kupata uhuru wa kweli na amani ya ndani mcheki Mwalimu hapa

    [4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana. Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
  12. mdukuzi

    Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

    Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru Watu ni waoga sijapata kuona
  13. Surya

    Tanganyika bado hatujapata uhuru, Je tulipataje hiki kinachoitwa uhuru.?

    Pengine hii ni siri ambayo baadhi ya watu hawatopenda kila mtu katika hii nchi aijue, : Kipindi ambacho watanganyika bado tunatawaliwa na mkoloni, Mwalimu akiwa na chama cha kudai uhuru, basi... Kiliitishwa kikao cha Watu wazito wa hii nchi, watu wenye elimu ya faraki kujadili je...
  14. K

    Chadema wanahamasisha Uhuru na Haki ya kupiga kura,CCM wanahamasisha kificho cha wizi kura

    Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
  15. M

    Mwenye kitabu cha uhuru wa mahakama

    Samahani sana. Mwenye kitabu cha UHURU WA MAHAKAMA kilichoandikwa na Jaji mstaafu Samatta naomba anisaidie.
  16. K

    Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru

    Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
  17. T

    Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  18. Alloyce PR

    Akili kumkichwa: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
  19. R

    Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  20. Wakusoma 12

    Waasisi wa Uhuru waliotuacha kwenye Lindi la Umaskini

    Tulipopata uhuru, matumaini yalikuwa makubwa. Tulidhani uhuru ungeleta maendeleo, uchumi imara, na maisha bora kwa wote. Lakini leo, Afrika bado inakabiliwa na umasikini, madeni, ukosefu wa ajira, na miundombinu duni. waasisi wa uhuru kama Julius Nyerere (Tanzania), Kwame Nkrumah (Ghana), na...
Back
Top Bottom