uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Historia Mpya ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais Joe Biden wa Marekani

    Rais Uhuru Kenyatta amekutana na rais Joe Biden wa Marekani huko White House. By the way rais Uhuru kwenye mambo ya diplomasia yupo vizuri sana. Katika miaka tisa ambayo amekuwa mamlakani, amekutana na rais wote watatu wa Marekani waliokuwa madarakani. Amekutana na rais Barack Obama ambaye...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta taswira ya Rais wa Afrika

    Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru. Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome. Utu Demokrasia Haki na usawa Vitu hivi vitatu kwa Africa ni changamoto isipokua Kenya kwa Kenyatta.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru: Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa darasani

    Hii ni shule ya Msingi Manda iliyopo jimbo la Mtera, Wilaya ya Chamwino katika Jiji la Dodoma Mungu ibariki Tanganyika
  6. JamiiForums Tanzania Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wananchi wa Ludewa wanasafirisha wagonjwa kwenye machela. CCM inatia aibu.

    Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hizi picha miaka 60 baada ya uhuru, ni kielelezo tulikosea kutaka kujitawala na tulitakiwa tuendelee kutawaliwa

    Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala. Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia...
  10. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza

    Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo gazeti la Mwafrika lilivyochapisha harakati za Uhuru 1959

    Little we knew that the Freedom will be for the few TANU, CCM and Afro Shirazi Party elites.
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya uhuru wa Tanganyika sehemu ya pili

  13. JamiiForums Tanzania Historia ya uhuru wa Tanganyika 1950 - 1961

    [18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Historia Ya Uhuru Wa Tanganyika |1950 - 1961 | Mohamed Said | Shemu Ya Kwanza [18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Tutaaza Saane na nusu Usiku Huu, LIVE usikose Sehemu ya Kwanza
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po. Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Simba wekeni screen kubwa uwanja wa uhuru kiingilio kiwe 3000

    Natoa ushauri huu ili sisi ambao hatutaweza ingia mkapa tuweze shangilia nasi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

    Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama "Hakuna kama Samia" "Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

    Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na Uhuru mkubwa wa kutoa maoni baada ya Africa kusini iko chini kidogo ya Uingereza|| Je! CHADEMA mnalijua hili?! " Hakuna kama Samia " GOODNEWZ: Tanzania rasmi nchi ya pili Barani Africa kwa uhuru wa kujieleza|kutoa maoni baada ya Africa ya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Karibu Mwenge wa Uhuru mkoani Mbeya

    KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA. Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Uhuru wa fikra kufikia Utawala Bora

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…