uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli Burundi ilitaka kuunganika na Tanganyika ilivyopata Uhuru na ingekuwa sehemu ya Tanganyika?

    Jana Julai mosi, wananchi wa Burundi waliadhimisha miaka 60 tangu nchi yao ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Jumapili ya Julai mosi, 1962. Mwaka moja kabla ya siku ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi wa Umoja Mataifa na chama kilichoshinda katika...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uhuru Kenyatta amwambia Ruto hafanyi kazi amekalia mdomo tu

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais wa Marekani wajadili suluhu la ugomvi DRC

    Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana... The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours. US...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hofu hii inasababishwa na nini na kwanini haikuwapo wakati wa kupigania uhuru?

    HOFU HII INASABABISHWA NA NINI KWANINI HAIKUWAPO WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA? KUSUPA HAPENDEZEWI NA KUSEMA KUWA CHIEF MKWAWA ALIKUWA MUISLAM ANASEMA: ‘’MOHAMED SAID USICHEZE NA HISTORIA YA WAHEHE, WAPO WANAOIJUA VILIVYO! ETI MKWAWA AJIITE ABDALLAH? HIVI KWELI WEWE UNAMJUA...
  6. JamiiForums Tanzania Maendeleo yasiyoweza kumgusa mwananchi moja kwa moja ni ubatili. Kwa miaka 60 tumepata uhuru lakini CCM haijamsaidia mwananchi wa Kawaida

    Unajenga mabarabara lakini mwananchi hana uwezo wa kulipa nauli na kupanda basi hata kama barabara ni nzuri. Hii haisaidii kitu. Mwananchi lazima awe na kipato cha ziada ili kuwa na uwezo mkubwa kumudu. Unajenga hospital lakini huduma za kulipia na wananchi hawawezi kumudu inasaidia nini...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Urges Deployment Of East African Regional Force To Eastern Congo

    President Uhuru Kenyatta has called for the deployment of the East African Regional force to Eastern Democratic Republic of Congo (DRC) in a bid to address the growing insecurity. The president, in his capacity as the chairman of the East African Community (EAC), called for immediate cessation...
  9. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuzungumza na wenzetu

    UHURU WA KUZUNGUMZA WA WENZETU Filamu, ''JFK'' iliyotengenezwa na kuogozwa na Oliver Stone ilinikuta niko mji mmoja mdogo Uingereza. Mwaka ni 1991. Huyu Oliver Stone ni Mmarekani na sifa yake yeye ni kule kutengeneza senema za kushambulia mamlaka. Oliver Stone akishambulia serikali yake ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wazee wa mikoani walipigania Uhuru?

    Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu, inasemwa na baadhi ya wajukuu wa watu waliopo kwenye picha hiyo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema, kama alivyo Tundu Lissu, ni kama kile kizazi kinachotoweka cha wapagani uhuru wa bara hili kutokana na ujasiri walionao

    Mdude CHADEMA, kama alivyo Tundu Lissu, ni miongoni mwa binadamu wachache sana wenye ujasiri na walio tayari kukabiliana na hatari iliyo mbele yao kwa lengo la kupigana kile wanachokimimi ni sahihi kama vile kupigana haki za watu wengine, uhuru wao, n.k hata ikibidi kwa gharama ya maisha yao...
  12. JamiiForums Tanzania Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

    Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k. Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

    Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha. Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na...
  14. JamiiForums Tanzania Makachero wa Special Branch ndani ya harakati za uhuru wa Tanganyika

    Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze. Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU. Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza Mwapachu, wengine wakiwa Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe agenda ikiwa namna ya kumuingiza Julius...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kujieleza ni Gololi mpya kwa Watanzania. Watanzania ni wale wale tu

    Miaka ya nyuma sana nchi yetu ilikuwa na vitu vya thamani sana kama madini ambavyo vilikuwa vinapatikana kwa Urahisi sana bila kutumia nguvu sana kama ilivyo sasa. Inasemekana watu wa Mataifa ya nje walikuwa wakija wanashangaa kuona watu wanachezea dhahabu huku wenyewe wanaitafuta sana, hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru drives himself to the airshow

    Rais Uhuru Kenyatta kajiendesha mweyewe kwenye airshow. Sidhani kama kuna marais wengi duniani wanaofanya hivi. I like Uhuru's free-natured spirit.
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 William Ruto amuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta

    Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda sikufikia matarajio ya bosi wangu Rais Kenyatta, na ninaomba unisamehe," Ruto. Ruto ameomba msahama...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta apata Tuzo ya Kimataifa kwa Kutoa Uongozi Thabiti Bara Afrika

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana. Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…