uhuru

  1. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mshume Kiyate ndani ya Gazeti la Uhuru

    Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ya mwaka wa 1964 imechapwa katika Gazeti la Uhuru hilo hapo chini. Picha hii alinipa Mwalimu wangu Mzee Kissinger pamoja na maelezo yake.
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

    Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine lakini pia hapo miaka ya nyuma kidogo kuna uhuru tuliupoteza uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa...
  6. Mwiba

    JamiiForums Tanzania Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

    Wakati tukiwa na Rais Kikwete ambae yeye ndie aliekuwa mpiganiaji wa jambo hili alipokuwa akisota bungeni, kinachohitajiwa ni kusituliwa tu na kuambiwa ule wakati ndio huu. Tunaitaka Tanganyika. Tunataka kufuta kasoro za Muungano. Tunataka Rais wetu. Tunataka Bendera yetu. Tunataka...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Salamu za Uhuru kutoka kwa Mwalimu Nyerere

    Ndugu wananchi, Naona mwaka huu hamsheherekei Sikukuu ya Uhuru. Si kitu. Mradi tu mkumbuke kwamba mko huru. Kwa sababu mimi na Rashidi na Oscar na Derek na Jamal na Maswanya na wengine wengi tuliwaletea Uhuru, tuliwaongoza katika harakati za kudai Uhuru Kwa hiyo mjihadhari mtu yoyote...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitihada za Uhuru Kenyatta kurejesha amani Congo, ayataka makundi ya kigeni yenye silaha kurudi makwao

    Hotuba yake imenitia moyo. Amenifurahisha alipozitaka nchi majirani kutoitumia ardhi ya Congo kama uwanja wa vita. Kuna mapendekezo mengi ambayo yakifanyiwa kazi amani na ustawi utarejea Congo.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

    Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU? Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO? Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

    Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa. Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote. Walinipa VCD na DVD matukio...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

    Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi? Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.? Naamini shida sio TANESCO...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja? Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
Back
Top Bottom