uhuru

  1. Safari Afrika

    SoC03 Afrika na uhuru bandia

    Mwandishi:Safari Afrika Mfu Afrika na uhuru Bandia, Nasikia huna raha maana machungu umezoa, umechoka kulia na kushoto unaelekea, jua limekuchwa na kivuli chako katu hakikusogea. Afrika uliye mfu maana umeliwa na siasa, Nusu mfu wanao kujenga ni vijana na wamezimia kwenye anasa, Mama afrika...
  2. Mabula marko

    SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
  3. KING MIDAS

    Tulioalikwa nyumbani kwa balozi wa Italy kushehererekae uhuru wa 🇮🇹 kesho tukutane hapa.

    Nadhani tukikutana mapema jukwaani tutaweza kufanya maandalizi ya pamoja, tukae meza moja kama JamiiForums, tubadilishane mawazo, uzoefu nk. Niko hapa
  4. GoldDhahabu

    Ingelikuwaje Kama Tanganyika Ingelipata Uhuru Wake Kwa Kuchelewa Kuliko Majirani Zake, Tuseme 2005?

    Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's. Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni hadi mwaka 2005, hali ingekuwaje? Kwamba, labda Ujerumani ingeitawala tokea mwaka 1891 hadi 1975, na...
  5. A

    Tanzania tumepata Uhuru au Tumerithi?

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika, tumepata Uhuru au tumepata Urithi? Nasema tumerithi, kwasababu hatujarudi katika njia nzetu kabla ya kutawaliwa. Tumeendelea na mifumo yote alioiweka mnyonyaji. Tumerithi kwanzia utamaduni hadi mifumo ya utawala. Viongozi wetu wamekuwa wanyonyaji, kama mfumo...
  6. The Supreme Conqueror

    Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tangu nchi imepata uhuru, Jenerali Abdallah Twalipo ndio CDF pekee kutokea upande ule, shida nini?

    Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980. Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa Nduli Idd Amin Dada. Jenerali Twalipo alipostaafu, kuna kambi moja Dar es Salaam inayotumika kuaga...
  8. funaku

    Wafanyabiashara wasitake kutumia uhuru waliopewa vibaya, walipe kodi

    Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli. Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Nchi ni Wananchi: Kuunga mkono Haki na Uhuru wa Wananchi

    NCHI NI WANANCHI: KUUNGA MKONO HAKI NA UHURU WA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Mfumo wa Nchi Ni Wananchi unasisitiza umuhimu wa haki na uhuru wa wananchi katika nchi. Unalenga kuwawezesha wananchi kutoa maoni yao, kuwasilisha wasiwasi wao, na malalamiko yao kwa uhuru. Makala hii inajadili...
  10. Samahani

    SoC03 Turuhusu uhuru wa habari utuwajibishe

    Utangulizi Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
  11. Inkotanyi 94

    Nikumbushen: Show ya Wanamuziki wa Dansi wa DRC na Tanzania kusherehekea uhuru wao ni lini na wapi Dar?

    nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo. Nisiwachoshe. maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit. Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
  12. B

    Mwenge wa Uhuru wazindua kituo cha redio Chalinze FM 97.5

    Wiki hii Mwenge wa Uhuru ulifika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani kumulika na kukagua miradi ya maendeleo ambapo ilizindia Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 chini ya kauli mbiu yake ya 'Sauti ya Jamii'. Chalinze FM iko katika Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Chalinze na...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023, Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze imezinduliwa bila kipingamizi chochote na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa

    CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?. Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani. Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze...
  14. JanguKamaJangu

    China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

    Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Kanali Tan Kefei anasema ongezeko la hivi karibuni la mabadilishano...
  15. sky soldier

    Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

    Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
  16. chiembe

    Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
  17. Mohamed Said

    Picha Adimu za Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    PICHA ADIMU ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea picha kutoka kwa Mshindo Ibrahim ikimuonyesha marehemu baba yake Mzee Ibrahim Mwinyimvua Makongwa aliyepata kuwa Mwenyekiti wa TANU Iringa wakati Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961 akimuaga uwanja wa ndege wa Iringa...
  18. U

    Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

    Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
  19. BARD AI

    Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  20. J

    Uhuru wa Vyombo vya Habari: Nchi 7 kati ya 10 zina hali mbaya

    Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
Back
Top Bottom