Maombi kwa TFF juu ya uhuni wa Lamine Moro

tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
1,179
2,955
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card.

Kiukweli kile kitendo cha Lamine ni uhuni mtupu usiokubalika michezoni kwasbb ungeweza kuhatarisha kama si kutamatisha career ya soka la Kazimoto.

Hvyo naiomba TFF iingilie kati na kumuongezea adhabu kali sana huyu mchezaji kwa kumfungia hata miezi kadhaa ili iwe funzo kwake yeye na kwa wengine kama ambavyo wachezaji wengine wanavyoadhibiwa kwa kupiga viwiko, kupiga vichwa wenzao na mengneyo yasiyo ya kiungwana!!

Pia naiomba TFF iifute ile kadi nyekundu aliyopewa Mwinyi Kazimoto, naamini alistahili yellow na hii ni kutokana na kushindwa kuhimili hisia zake kwa kitendo alichofanyiwa na Lamine
 
Wachezaji wa Yanga hujawahi kujua ni wavuta bangi na mpira hawawezi, watu wakitakiwa wawe kwenye michezo ya karate, ila wanakuja kucheza mpira.
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Hata kitendo cha Mwintuyi Kazimoto kutaka kumkanyaga PS ilikuwa sio cha kiungwana. Na mtafaruku ndipo ulipoanzia
Ujue watu wanaangalia alichokifanya Moro tu hawaoni undava waliokuwa wanaufanya hao jamaa zao wa jkt hz timu za majeshi zinakuwaga na ubabe wa kishamba sana kiuanamichezo Moro kafanya kosa kubwa professional hapaswi kufanya vile ila nisiwe mbafki kwa upande wangu kanifurahisha maana mzozo ulianzia Sibomana alipofanyiwa foul na kuanza kukanyagwa ple chini mbona hii hamsemi?

Fey na Niyonzima wakawafata vp mtu mmeshamchezea foul na bado mnamkanyaga kanyaga ple chini? Eeee wanaleta undava kisa wajeda Lamine Moro akawaonesha kazi mpira mchezo wa kihuni sometimes tunahitaji vitu km hv ili tusichukuliane poa sana tuheshimiane uwanjani usimchukulie mwenzio mnyonge kwamba unamuweza sana!
 
Ujinga ni kutetea ujinga, huyu Lamine ndio kawaida yake hii sio mara ya kwanza
 
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card.

Kiukweli kile kitendo cha Lamine ni uhuni mtupu usiokubalika michezoni kwasbb ungeweza kuhatarisha kama si kutamatisha career ya soka la Kazimoto.

Hvyo naiomba TFF iingilie kati na kumuongezea adhabu kali sana huyu mchezaji kwa kumfungia hata miezi kadhaa ili iwe funzo kwake yeye na kwa wengine kama ambavyo wachezaji wengine wanavyoadhibiwa kwa kupiga viwiko, kupiga vichwa wenzao na mengneyo yasiyo ya kiungwana!!

Pia naiomba TFF iifute ile kadi nyekundu aliyopewa Mwinyi Kazimoto, naamini alistahili yellow na hii ni kutokana na kushindwa kuhimili hisia zake kwa kitendo alichofanyiwa na Lamine
Umeshafika klabuni kwao kumejaa mateja halafu unategemea wachezaji wawe na nidhamu
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Ujue watu wanaangalia alichokifanya Moro tu hawaoni undava waliokuwa wanaufanya hao jamaa zao wa jkt hz timu za majeshi zinakuwaga na ubabe wa kishamba sana kiuanamichezo Moro kafanya kosa kubwa professional hapaswi kufanya vile ila nisiwe mbafki kwa upande wangu kanifurahisha maana mzozo ulianzia Sibomana alipofanyiwa foul na kuanza kukanyagwa ple chini mbona hii hamsemi?

Fey na Niyonzima wakawafata vp mtu mmeshamchezea foul na bado mnamkanyaga kanyaga ple chini? Eeee wanaleta undava kisa wajeda Lamine Moro akawaonesha kazi mpira mchezo wa kihuni sometimes tunahitaji vitu km hv ili tusichukuliane poa sana tuheshimiane uwanjani usimchukulie mwenzio mnyonge kwamba unamuweza sana!
watakupinga mkuu JKT wanamchezo wa hovyo sana mimi nimevaa miwani ya mbao sioni kosa la lamine moro
 
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card.

Kiukweli kile kitendo cha Lamine ni uhuni mtupu usiokubalika michezoni kwasbb ungeweza kuhatarisha kama si kutamatisha career ya soka la Kazimoto.

Hvyo naiomba TFF iingilie kati na kumuongezea adhabu kali sana huyu mchezaji kwa kumfungia hata miezi kadhaa ili iwe funzo kwake yeye na kwa wengine kama ambavyo wachezaji wengine wanavyoadhibiwa kwa kupiga viwiko, kupiga vichwa wenzao na mengneyo yasiyo ya kiungwana!!

Pia naiomba TFF iifute ile kadi nyekundu aliyopewa Mwinyi Kazimoto, naamini alistahili yellow na hii ni kutokana na kushindwa kuhimili hisia zake kwa kitendo alichofanyiwa na Lamine
Wewe simba hebu , nawa mikono na sanitizer ukalale habari za yang a waachie wana yanga hujaona club imemuonya na adhabu
 
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card.

Kiukweli kile kitendo cha Lamine ni uhuni mtupu usiokubalika michezoni kwasbb ungeweza kuhatarisha kama si kutamatisha career ya soka la Kazimoto.

Hvyo naiomba TFF iingilie kati na kumuongezea adhabu kali sana huyu mchezaji kwa kumfungia hata miezi kadhaa ili iwe funzo kwake yeye na kwa wengine kama ambavyo wachezaji wengine wanavyoadhibiwa kwa kupiga viwiko, kupiga vichwa wenzao na mengneyo yasiyo ya kiungwana!!

Pia naiomba TFF iifute ile kadi nyekundu aliyopewa Mwinyi Kazimoto, naamini alistahili yellow na hii ni kutokana na kushindwa kuhimili hisia zake kwa kitendo alichofanyiwa na Lamine
Wewe ni mpuuzi mmoja tena wakupuuzwa! Usikute wewe ni mwanaume lkn tabia zako hazina tofauti na wanawake wa uswazi, unajua kwann! Una kirehere kudandia mambo yasiyokuhusu! Ndiyo , wewe si jkt wala yanga. Ungekuwa kati ya hao ungeshaona hatua zilizochukuliwa dhidi yake. Punguza kiherehere. Kama tigo yako inawashwa tafuta wa kukukuna
 
Huu mjadala unaweza kugeuka kwa Mikia wasiojitambua kuanza kuishutumu Yanga kama vile wachezaji wao hawafanyi mambo ya kipuuzi kama alichofanya Lamine. Kuna Chama dhidi ya Feitoto na Wawa dhidi ya Nchimbi.
Gonjwa hili lazima litafutiwe dawa kwa kutunga kanuni kali kabisa. Lakini kanuni lazima zitumike bila kuangalia nani kafanya.
Kama tuna adhabu ya aggressive behaviour, adhabu yake ni nini?
 
Back
Top Bottom