uhifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hoja za Serekali za uhifadhi wa urithi wa asili, inaishinda hoja ya masai ya kimakazi

    Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka kwa miaka, ardhi isiyo mbuga ipo tele na yenye rutuba na nzuri kwa malisho ya mifugo. Pia, hoja ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa baadaye?

    Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye? Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe halisi inabidi; (a)kwanza serikali ihamasishe wananchi kutumia gesi kama nishati bora kwa matumizi ya...
  3. Kidaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vitalu vya kuvuna kuni na mkaa kwa uhifadhi wa mazingira

    Kuni na mkaa ni vyanzo muhimu vya nishati kwa kupikia na kupasha joto, ambapo inakadiriwa kuwa 90% ya watanzania wanategemea kuni na mkaa kwa mahitaji ya nishati (HBS 2020 report). Pamoja na jitihada nyingi zinazofanywa na serikali, mashirika ya kitaifa na kimataifa ya kuhamasisha watu kutumia...
  4. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Matumizi na uhifadhi sahihi wa silaha kwa wamiliki Tanzania

    Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia. Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama vile ulinzi binafsi, kuwinda n.k. Leo sitaongelea namna ya upatikanaji wa haki hii bali vitu vya...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Amshukuru Rais Samia kwa Maono Makubwa Kwenye Uhifadhi na Utalii

    WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa...
  6. Midimay

    JamiiForums Tanzania Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji

    Ni ombi muhimu, mwenye CV ya Kamishna wa Uhifadhi ,,- TANAPA Juma Kuji . Aiweke hapa!
  8. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Mufindi na M/kiti wa Mapanda kizimbani kwa ubadhirifu wa zaidi Sh. Milioni 19

    Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Mufindi Bw. Jeswald Gustav Ubisiambali na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapanda Bw. Oberd Francis Madembo, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa mashtaka mawili; 1. Ubadhirifu na ufujaji 2. Wizi...
  10. MGUBA

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iunganishe taasisi zote nne zinazounda jeshi la uhifadhi

    Nawasalimia ndugu na jamaa zangu, Ama baada ya salamu, naomba kuelekekeza mawazo yetu kwenye mada hii. Wizara ya Maliasili na Utalii, Pamoja na majukumu yake mapana, ina Taasisi na mashirika ya umma yaliyo chini yake. Miongoni mwa Taasisi na mashirika hayo ni: 1. Hifadhi za Taifa (TANAPA) 2...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira

    Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira Utangulizi Rasilimali za asili na mazingira ni hazina muhimu kwa maendeleo na ustawi wa jamii na taifa. Kuhifadhi na kuenzi rasilimali hizo ni jukumu letu sote. Katika makala hii, tutajadili jinsi utawala...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia katika uhifadhi wa mazingira

    Uhifadhi wa mazingira ni juhudi za kuchukua hatua zinazolenga kulinda na kudumisha mazingira ya asili ikiwa ni pamoja na mimea,wanyama,hewa,maji na ardhi.Uhifadhi wa mazingira unahusisha kushiriki kikamilifu katika kuzuia uharibifu wa mazingira, kupunguza uchafuzi wa hewa,maji na udongo na...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania imedhamiria kuboresha uhifadhi wa urithi wa ukombozi

    Serikali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimedhamiria kuboresha na kuimarisha uhifadhi wa urithi wa ukombozi kurithisha kizazi cha sasa na vizazi vijavyo ili kuinua uchumi wa pande hizo mbili za Muungano. Akizungumza mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Jeshi la Uhifadhi Unafanya Kazi Vizuri

    MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la Uhifadhi kuziwezesha Taasisi hizo kufanya kazi zake vizuri huku kila Taasisi ikiwa inasimamiwa na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 15 Kusaidia Uhifadhi Nchini

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Regine Hess, wameshuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Bilioni 15 (Euro milioni 6), Kusaidia Tanzania Kupambana na Wanyama Waharibifu katika maeneo ya Kusini mwa Tanzania. Mkataba huo umetiwa...
  17. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

    - Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Askari 6 wa Uhifadhi wameuawa kwa kushambuliwa na Wananchi Mwaka 2022

    Jeshi la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba, 2022, limepoteza askari sita kwa kuuawa baada ya kushambuliwa na wananchi nyakati tofauti, wakiwa wanatekeleza majukumu yao ya uhifadhi. Kamishna wa Uhifadhi TFS, Profesa Dos Santos...
  19. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
Back
Top Bottom