uhifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa vitabu vya kale wakumbatia teknolojia ya kidijitali mkoani Henan, China

    Juni 6, 2022, Shi Weixia, mfanyakazi wa makavazi ya wilaya ya Wenxian katika mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan, China ananakili vitabu vya kale na kubadilisha kurasa za vitabu vya kale kuwa mafaili ya picha. Kuanzia mwaka jana, Makavazi ya Wenxian imekumbatia teknolojia za kisasa katika kupanga...
  2. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...
  3. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Juliana Donald: Kwenye Migogoro ya Uhifadhi, Serikali Inajali Zaidi Wanyamapori Kuliko Watu

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII- ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA 2022/23. Utangulizi Kufuatiwa na taarifa ya utekelezaji wa mujukumu na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitunukiwa na Mwinyi medali ya dhahabu kwa jitihada za uhifadhi

  5. L

    JamiiForums Tanzania Huawei kupeleka zana za kidijitali ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori barani Afrika

    Kampuni ya mawasiliano ya Huawei ya China imesema itapeleka teknolojia yake ya 5G ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori mashuhuri barani Afrika huku kukiwa na vitisho vinavyohusishwa na shughuli za binadamu na mabadiliko ya tabia nchi Huawei inasema teknolojia yake ya 5G na kamera za kisasa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COvID19 inaweza isiwe na ubora kwa uhifadhi hafifu.

    Ubora wa chanjo unaendana na kufuatilia taratibu za uhifadhi. Kama chanjo imeelekezwa kutumika kwa kipindi flani lazima iwe hivyo, Kama imeelekezwa kutunzwa kwenye joto la ngazi flan lazima iwe hivyo na Kama imeelekezwa kuwekwa kwenye ubaridi pia inabidi iwe hivyo. Kampeni inayoendeshwa Mikoani...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Ujerumani yachangia Tsh bilioni 68 kwenye Uhifadhi Tanzania

    Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ujerumani kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 56 za Kitanzania zitakazotumika kwa ajili ya miradi ya mikubwa ya shughuli za Uhifadhi nchi

    Akizungumza leo na Waandishi wa Habari katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti liliyopo wilaya ya Serengeti mkoani Mara Waziri wa Maliasili na utalii,,Dkt.Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania amesema miradi mbalimbalii inayofadhiliwa na Ujerumani iliyopo ndani na nje ya...
Back
Top Bottom