Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi.
Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
Kumteka mwanachama wa CCM kwa sababu amethubutu kuikosoa serikali na chama chake ni ishara ya hatari sana kwa demokrasia yetu.
Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
Mwananchi ana haki ya kusema ukweli. Mwanachama...
My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika mitandano ya kijamii wameshtakiwa mbele ya Mahakama ya ICC kwa tuhuma za makosa ya uhalifu dhidi ya...
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada
Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yakiiitaka ichunguze madai ya uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi.
Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba
Sample bajeti
Idadi ya mikoa 5
Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100
Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/=
Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/=
Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/=
500,090 logistics
jumla kuu 11,000,000/=
Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
Wakuu,
Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu.
Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?
Sidhani...
Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ?
Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa kuongezeka kwa kasi zaidi
Tutegemee ongezeko la uharifu zaidi
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu kukamatwa kwa wanachama 29 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo wanawake 20 na wanaume 9, ambao baadaye waliruhusiwa kwa dhamana.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa Machi 8, 2026 na Ofisi ya Kamanda wa Polisi...
Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao.
Je,
ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
Mkaguzi wa Polisi wa Kata ya Kisangura, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameendelea kuzigusa na kuzifikia familia mbalimbali katika kata yake kwa kushiriki nao upendo kupitia utoaji wa elimu ya kukabiliana na uhalifu pamoja na msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya mahitaji ya shule...
JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA.
kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi.
Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc
Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti uhalifu unaotokana na matumizi na maendeleo ya teknolojia.
Ametoa rai hiyo wakati wa Kikao cha...