uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kenichi Shinoda: Mfalme wa Yakuza, uongozi na uhusiano na serikali ya Japan

    Katika historia ya uhalifu wa kisasa nchini Japani, jina la Kenichi Shinoda linatajwa kwa heshima ya kutisha na hofu isiyoelezeka. Huyu ndiyo kiongozi mkuu wa kundi kubwa la kihalifu la Yamaguchi-gumi ambalo ni mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya Yakuza duniani. Maisha ya Shinoda yamejaa utata...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuficha mashahidi ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo. Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo. Kama...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Damu Haina Expiry: Gharama ya Uhalifu wa Kisiasa na Udhalimu wa Kifisadi

    Hivi kweli mnadhani kuhalalisha kumwaga damu za wasio na hatia kwa minajili ya political survival na phantom legitimacy ni ujasiri? Je, mioyo yenu haikuiwasha shame mnapobadilisha utu kuwa mere collateral damage? This is state-orchestrated savagery disguised as governance! Kumbukeni, history...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mamlaka kudhibiti uhalifu wa vikundi vinavyojifanya Washirika wa CCM na kuumiza watu

    Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya uhalifu wa kiutumishi na kimaadili kwahiyo hatakiwi kujibiwa kwenye vyombo vya habari huyu ni mhalifu, afunguliwa kesi mahakama kuu

    Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi. Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania RC Sirro amewaonya wenye nia yakutenda uhalifu mkoa wa Kigoma

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP(Mst.) Mhe. Balozi Simon Sirro ametoa onyo dhidi ya wenyenia ya kutenda uhalifu mkoani humo na kusisitiza kuwa Jeshi la Polisi lipo imara na halitosita kuchukua hatua dhidi ya yeyote atakayebainika kushiriki vitendo hivyo. Soma, pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yaliyotokea hadi sasa kwenye kesi ya jinai ya Sean “Diddy” Combs kuhusu madai ya ulanguzi wa ngono na uhalifu wa kiharakati (racketeering)

    Upande wa Mashtaka Wamaliza Kuwasilisha Ushahidi Baada ya wiki sita za usikilizwaji na mashahidi 34 wakitoa ushahidi (akiwemo Cassie Ventura), upande wa mashtaka umemaliza kutoa ushahidi wake tarehe 24 Juni 2025. Ushahidi uliowasilishwa ni pamoja na jumbe za maandishi (text messages), rekodi...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

    Kwako Rais wa JMT, Waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wajitolea kujenga kituo cha polisi ili kudhibiti matukio ya uhalifu

    Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao. Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva zaidi ya 40,000 wafungiwa na Bolt, wapo wa makosa ya uhalifu

    Kampuni ya taski mtandao Bolt imeweka bayana madereva zaidi ya elfu arobaoni (40,000)wamefungiwa akaunti zao kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya uhalifu. Hayo yamebainishwa na Dimmy Kanyankole Meneja wa Bolt Tanzania wakati akibainisha jinsi kampuni hiyo ilivyowekeza pesa nyingi...
  18. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  19. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  20. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
Back
Top Bottom