Uhaba wa vyoo kwenye ukumbi wapelekea Madiwani wajisaidie vichakani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,794
2,000

madi%20.jpg

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga hasa wenye ulemavu wapo hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kipindupindu kutokana na ukumbi wanao utumia kwa ajili ya mikutano kuwa na uhaba wa matundu ya vyoo hali inayopelekea kujisaidia kwenye vichaka vilivyopo karibu na ukumbi huo.

madii.jpg

Pamoja na kukiri uwepo wa changamoto hizo kwenye ukumbi huo Mkuu wa Wilaya Bi.Kissa Kasongwa amesema hilo lipo nje ya uwezo wake na hivyo atafikisha kilio hicho kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Martine Shighela ili alitolee ufafanuzi.

ITV​

 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,645
2,000
Itakuwa ndio tabia ya jamii ya hapo, iweje wafanya maamuzi washindwe kutenga pesa kwa ajili ya vyoo vyao?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom