Mke wangu kanikimbia

genau

Member
Jan 11, 2018
36
54
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa mahari

Kipindi chote cha mahusiano yake alikiwa insecure sana na haya mahuano kwa sababu namzidi miaka kama mitano pia na kipato. So ugomvi wetu mkubwa ulikuwa ni simu yangu. Kila mara alikiwa ananivizia kujua password za simu yangu ili kujua kinachoendelea kwenye simu yangu. Japo nilikuwa najitahidi sanaa kubadili nywira.
Kila.alipokua akikuta kitu chochote alikiwa anaondoka kwangu na kudai kaniacha.

Pia ni mwanamke ambae nisipomtimizia mahitaji yake alikuwa anakuwa na hasira sanaa akihisi ninahonga na yeya namuacha kando.

Nikafanya maamuzi ya kumpa ujauzito nikihisi ataamini kama ni wangu na atapunguza wenge. Na ataaacha utoto wa kuwa na gubu.

Ila kiukweli ilikua ni kama nimechochea moto wa gas yaaani imekua ni mara dufu. Yaaani ilifika pahala hataki niende polote kila ninapotoka kazini hata marafiki akataka kunichagulia. Wivu uliopitiliza na unaokera. Mara zote alikua anachotaka nisipomtimizia anatishia kuondoka hata kama ni kidogo.

Ilifika pahala nikachoka so last weekend alikuaa chuo anajiandaa na mitihani kama ilivyokuwa ada nilikuwa namfata chuoni usiku. So that moment nilichelewa kwa sababu nilikua nakula bia na rafiki zangu.

Huwezi amini mama watoto alimind balaaa then akachukua boda akarudi home. Mie nilifika home kama dakika 20 nyuma yake nikapiga honi hakufungua, kwa kuwa geti lilikuwa halijafungwa. Nikazima gari nimaenda kufungua nikapak gari kipembe kikaja kuingia ndani. Akakataa kabisaa kufungua. So ikabidi nizuge naenda kulala gest ndo ikabidi anipigie simu. Nilivyorudi akanirushia funguo kupiti dirishani.
Nilivyofika chumbani akawa kafunga mlango so ikabidi nilale chumba cha wageni
Next day ilikuaa j'mos aliamka kanuna,mie kama kawaida nikamuuliza kama anaenda chuo then nimamleka

Jumapili akanandikia sms ndefu kama kachoka na maudhi yangu so alikuwa anahitaji break. Mie nilipuzia kwa vile nilikuaa kazini. Huwezi amini allipiga simu nyingi sanaa akiwa anaomba nimjibu japo sikupokea.

Nilivyorudi home usiku akaniuliza nimefanya maamuzi gani then nikamwambia nimeridhia aondoke akasema jumatatu anaondoka, so jumatatu akawapeleka mtoto na dada wa kazi kwa bibi yake kwa maana ni distance fupi then jioni akaniaga kwa sms

Haikupita hata masaa matatu akaniandikia sms ndefu kama anataka kurudi home sikumjibu akapiga simu nikamwambia no.

Baada ya hapo alikuwa anapiga simu mara kwa mara ikabidi nimblock ili kuondoa usumbufu. Jumatano mida ya saa tano asubuhi nkapigiwa na namba ngeni anajitambulisha then akasema anataka kuchukua barua ya field then ikabidi niende home kumfungulia.
Nafika home namkuta yeye binti wa kazi na mtoto.

Akasema mama yake kamfukuza mie sikujali nikamwambia akimaliza aweke funguo sehem tunayoijua baada kama ya saa mbili mama yake akanisms kwamba anahitaji tuonane. Nikamjibu nimebanwa sanaa kazini kwa sananj sikuona kama ni sawa kuongea nae kuhusu sisi
Jioni nimawakuta home. Nilikuwa tayari
Nikaenda chumba cha wageni kulala. Akaja kunuomba msamaha sanaaaaa ila sikutaka kuongea lolote nikalala.

Leo nimeamka nimaenda job hadi saiz sijaenda home kwa sababu kawa msumfu nishaurini niconclude vipi hili.......
 
Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada
Huyu mama watoto nimeanza nae mahusianowaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa mahari

Pole sana kamanda, msamehe!
 
Yaani hawa wanawake mwalimu hao ni Mjinga mmoja,
Mi wangu juzi nilichelewa kurudi (nilirudi saa 5 usiku) akanifungia mlango nikalala kwenye valanda ya nje adi saa9 nlipoona baridi inazidi ikabidi nipasue kioo nikafungua mlango nikaingia ndani kulala
Leo asubuhi nimetoka kwenda kazini nmemuacha home nimerudi saa 8 mchana sijamkuta na hadi saizi saa 4 usiku hajarudi napiga simu yake hapokei. Nmeenda kwa rafiki yake sijamkuta
Duh hii balaaa
 
Pole, mimi nime toka kuichakata chuma mboga kimasiharaaaa
IMG-20210813-WA0029.jpg
 
Sasa huku ni kukukimbia? Msamehe lakini mwambie aache hiyo tabia yake ya kununa nuna kwa mambo madogo na kutishia kuondoka.

Imeisha hiyo. Nenda ustawi upangiwe jinsi ya kutunza mtoto kwa kumuhudumia akiwa mbali. Huyo mwanamke atakuua kwa presha, atakuharibia hata kazi yako.
 
Wasiwasi wake una msingi. Kwa nini unabadilisha passwords? Una nini cha kumficha mkeo? Ukiamua kuoa, tulia. Vinginevyo tafuta mwanamke ambaye hajali michepuko.

Yaani wewe ulivyojieleza ni kwamba unaamini deep down kuwa una haki ya kuchepuka utakavyo kwa vile wewe ni mwanume. Haujuti kwa hayo makandokando yako. That's wrong. Kwa imani hii utaoa mara 10 na zaidi. Mawazo yako yanaendana na ya mama mkwe wako. Kwa hiyo umepitwa na wakati. Ingekuwa unaweza kuoa mama mkwe huyo ndiye mngeendana vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom