Mayele atapokonywa ufungaji bora 2022/23 na Saido?

daxy Jr

Member
Apr 15, 2020
88
304
MAYELESAIDOHZ.png

Mpaka sasa ubao wa wafungaji bora NBC Premier league unasoma hivi:

π— π—”π—¬π—˜π—Ÿπ—˜βž–16
π—¦π—”π—œπ——π—’βž–15

Leo Mayele atakuwa dimbani dhidi ya TZ Prisons huku Saido atakuwa dimbani dhidi ya Coastal Union. Unatabiri nini?

SOKAAABEEET.png

Kula Odds za Sokabet hizo Upige Mkwanja!
 
Refa alie chezesha match ya simba yuko chimbo ana shugulikiwa kwa nini Ali maliza match wakati side aja funga la 6
 
Awaachie tu, Maana ndo lengo Simba wamebaki nalo, Club fungaji bora, nilishauri hata wajumlishiwe magoli yote ya wachezaji wapata mara 2 ya Mayele
 
Leo nataka kweli kujua kama nabi ni professor, ntamkubali sana nabi akimuweka nje mayele! Mechi ya Azam Ina umuhimu kuliko huu ujinga wa kiatu

Angekuwa anakusikiliza wewe Yanga ingekuwa inapiga miayo nje huko
 
Leo nataka kweli kujua kama nabi ni professor, ntamkubali sana nabi akimuweka nje mayele! Mechi ya Azam Ina umuhimu kuliko huu ujinga wa kiatu

Amemuanzisha MAyere.

Prison inaudhamini WA Mdogo wa GSM...

INAWEZA ikamlegezea Mayele.
Zimba Ina undugu na Costal
INAWEZA ikamlegezea SAID.

KILA LAKHERI SAIDO
 
Mashabiki wa simba ni watu wa kuridhika hata kwa vitu vidogo tu. Yaani hata wakose makombe yote muhimu ndani ya msimu mzima, ila wakipata faraja ndogo tu mahali fulani, wanaridhika.
 
Mashabiki wa simba ni watu wa kuridhika hata kwa vitu vidogo tu. Yaani hata wakose makombe yote muhimu ndani ya msimu mzima, ila wakipata faraja ndogo tu mahali fulani, wanaridhika.
Nyie mliomtoa mchezaji wa pilau la ikulu tuwaweke kundi gani?
 
Back
Top Bottom