Naomba muongozo juu ya Ufugaji mkubwa kiasi kwa Njia za Kisasa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Naomba kujuzwa juu ya ufugaji mkubwa wa ng'ombe. Nahitaji kuwa na ng'ombe kama elfu moja na mia mbili.

Je, nitatakiwa kuwa na vibali vipi serikalini!?

Je, ng'ombe wanaotoa maziwa mengi ntapatia wapi mbegu yakee?

Na ni ukanda upi wa nchi yetu naweza kupata kwa gharama nafuu hekari 3600 !?
 
Katavi, Songea,Lindi ndio unaweza pata maeneo bila shida Huwa naona wasukuma wapi katikati ya misitu ya tabora na Kigoma sina hakika mikoa hio kama Yale mapori ni ruksa.Katavi ni uhakika bado kuna ardhi kule.
 
Katavi,songea,Lindi ndio unaweza pata maeneo bila shida Huwa naona wasukuma wapi katikati ya misitu ya tabora na kigoma sina hakika mikoa hio kama Yale mapori ni ruksa.Katavi ni uhakika bado kuna ardhi kule.
Sawa mkuu
Hizo hekari zinaweza kunicost kiasi gani?
 
Songea walikuwa wanatangaza mashamba kwa ajili ya wawekezaji wa korosho mahindi,mitiki.Nilisikia redio za mbeya na namba zao nilinakili ukizihiaji ntakutumua uwasiliane nao, wanadai wanaheka nyingi sana Ila being hawakutaja.

Vile vile Songwe kuna maeneo kuna mtu nilikutana nae alikuwa anaekekeo huko, namba yake sikuchukua kwa sababu sikuwa interest sana na huko.
 
Uko wapi
Na ungependa upate Mkoa gani.
Mikoa yenye ardhi ya kutosha ni pamoja na Pwani na Ruvuma.
Karibu kwa maswali zaidi.
 
Mkuu naomba hiyo no ya hao watu nataka kama heka 150 songea
Songea walikuwa wanatangaza mashamba kwa ajili ya wawekezaji wa korosho mahindi,mitiki.Nilisikia redio za mbeya na namba zao nilinakili ukizihiaji ntakutumua uwasiliane nao, wanadai wanaheka nyingi sana Ila being hawakutaja.

Vile vile Songwe kuna maeneo kuna mtu nilikutana nae alikuwa anaekekeo huko, namba yake sikuchukua kwa sababu sikuwa interest sana na huko.
 
Katavi, Songea,Lindi ndio unaweza pata maeneo bila shida Huwa naona wasukuma wapi katikati ya misitu ya tabora na Kigoma sina hakika mikoa hio kama Yale mapori ni ruksa.Katavi ni uhakika bado kuna ardhi kule.
Kwamba huku hatuhitaji ardhi?.
 
Back
Top Bottom