Nahitaji piglets (watoto wa Nguruwe) kwa ajili ya ufugaji

Ronee

Senior Member
Jun 1, 2018
156
155
Wakuu mada tajwa hapo yahusika,

Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa 0689464641tufanye biashara.
 
wasiliana nao, wakupe na elimu pia ya ufugaji
Screenshot_20200406-080341.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee ana ile mbegu ndefu Ila kuuza ni mbinde..

Fuga aisee wale wadudu wanazaliana hatari,na wanakuwa kama ling'ombe
 
mzee ana ile mbegu ndefu Ila kuuza ni mbinde..

Fuga aisee wale wadudu wanazaliana hatari,na wanakuwa kama ling'ombe
Mkuu ninahitaji sana hiyo mbegu ndefu. Niunganishe na mzee tafadhali.
 
Habari mkuu, hawa masister wa kihonda wanaofuga Nguruwe nawezaje kupata mawasiliano yao. Kama una accses hiyo naomba unifanyie wepesi

Miaka ya nyuma tukiamua kufuga kwa vikundi..mie nikadrop..ngj nitakuulizia!
 
Back
Top Bottom