ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa serikali ya awamu ya sita

    Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita? 1. Wingi wa mikopo 2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi 3.safari za kila mara nje ya nchi 4. Porojo 5. Tozo kila mahali 6. Chanjo ya corona 7. Ufisadi 8. Sgr 9.jnhep 10. Barabara za mjini na vijijini kutokutengenezwa licha...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  5. Amani Dimile

    JamiiForums Tanzania SoC02 Soma hii kwa ufanisi, maisha utayapatia

    Mwanangu leo kabla hujalala naomba unisikilize kidogo, ninalo neno nahitaji kukuusia huenda likakufaa kimaisha. Kama si leo basi kesho na kama si kesho basi mtondo .. Mwanangu tupo chini ya mbingu, sababu ya Mungu. Yeye asiye na majungu, mwenye upendo usio na ukungu agaae riziki kwa mafungu...
  6. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

    Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila inapobidi kufanya hivyo tukidhani kwamba ndio dawa ya kutibu tatizo hilo. Lakini kwa wakati mwingine...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mchana kwa wafanyakazi kinaleta motisha kwenye ufanisi

    Chakula cha mchana makazini kina siri kubwa katika kuleta ufanisi. Wakati wa Ukoloni mashirika mengi ya watu binafsi yalitoa chakula cha mchana kwa wafanyakazi. Kwakua ubaguzi wakati ule ulikua ni wa wazi Wazungu ambao walikua ni wachache wenye nafasi za juu walitaarishiwa milo mizuri na kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuisafisha CCM ili iliongoze taifa kwa ufanisi maana bado wapowapo sana

    Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo: 1. Kubadilibadili hoja 2. Kuvurugana kama...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayetoa tathmini ya kina ya ufanisi wa Katiba ya sasa

    Inashangaza sana kuona kuna kelele za wachumia tumbo wakidai katiba mpya. Nawaita ni wachumia tumbo kwa kuwa hakuna common mwananchi anayedai katiba mpya bali ni viongozi wachache wenye ubinafsi. Zaidi sijaona andiko lolote la maana na kina kutoka kwa maprofesa wetu wenye elimu za kuunga unga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

    Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu. Taarifa: Godbless_lema Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mnaoelewa majukumu mapya ya Lukuvi na Paramagamba Kabudi, tujulisheni ufanisi ukoje

    Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea. Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja? Ni hayo tu.😄😄
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati igawanywe mara mbili ili kuongeza ufanisi

    Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi. Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania. Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...
  14. init

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  16. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania TECNO Yatangaza Teknolojia ya Ubunifu ya Kuongeza Ufanisi wa RAM na Programu

    Kampuni ya simu TECNO ilitangaza kutolewa kwa teknolojia mpya ya upanuzi ya Random Access Memory (RAM) kwa watumiaji wake ili kuongeza uwezo wa RAM wa simu zao kwa ufanisi bora. Teknolojia hii bunifu itapatikana kwa watumiaji wa CAMON 18 na SPARK 8 katika muda wa wiki mbili zijazo. Teknolojia...
  17. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Vipimo Saba vya Ufanisi wa Kimkakati katika biashara

    Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao utakuwezesha wewe mfanyabiashara mdogo uweze kufahamu kwamba kufanikiwa katika biashara sio swala la bahati...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa chini Benki za Serikali

    Akichangia hoja muheshimiwa Deus Clement majuzi alitufungua macho hali ilivyokuwa katika Benki za Selikali. Mikopo chechefu, hii ni mikopo mibaya au NPL, Non Performing Loans au ambayo haina marefesho mazuri baadhi ya mojawapo ya Benki ya selikari ina 55% ya mikopo katika vitabu vyake kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania NI CHANJO IPI INA UFANISI WIMBI LA NNE(OMICRON) ? ?

    Tunaomba wataalam watusaidie kujua hili mapema kadri ya wimbi hili la nne linavyo kuja kwa kasi Au kwa yeyote mwenye uwelewa huo
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
Back
Top Bottom