ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Ufanisi na kuaminika Serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini. Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Kirusi cha Omicron kitashusha ufanisi wa chanjo kwa 40%

    Katibu wa Nchi, Afya na Jamii wa Uingereza Sajid Javid amesema aina mpya ya kirusi cha #COVID19, Omicron ni kikali kuliko virusi vilivyotangulia Wataalamu wa Afya wamesema kirusi hicho kinaweza kupingana na chanjo zilizopo na kushusha ufanisi wa chanjo kwa 40% Nchi kadhaa zimechukua hatua...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Mapendekezo Yaliyotolewa Katika Baadhi ya Kaguzi za Ufanisi

    Mwaka 2019/20, CAG alifanya ukaguzi wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa katika ripoti tano zilizotolewa Aprili 2016 ambazo ni; i. Usimamizi wa utoaji leseni na mikataba ya utafutaji na uendelezaji gesi asilia. ii. Ufuatiliaji wa utekelezaji na uzingatiaji wa Sera, Sheria...
  4. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Pfizer: Dozi ya nyongeza imeonesha ufanisi mkubwa

    Pfizer-BioNTech wamesema utafiti umeonesha ufanisi wa dozi ya tatu ambayo ni ya ku-boost chanjo ni 95.6% ambapo huweza kudhibiti hadi virusi vya Delta Dozi mbili za awali zina ufanisi wa 84% hivyo inaonesha umuhimu wa kupata dozi ya tatu. Majaribio yamefanyika kwa watu 10,000 wenye miaka...
  6. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ. FAIDA MBILI KUU ZA TURBO 1. Kuongeza nguvu ya engine -Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo ▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu ▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

    Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:- 1. Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi. 2. Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya. 3. Kuwe na sheria moja ya Uchaguzi. 4. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Tume. 5. Wanaopita bila kupingwa Wabunge na...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kuongeza ufanisi na tija kwa Magereza ili kusaidia jamii na mazingira kwa ujumla

    Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ufanisi katika Makusanyo: Serikali imeona ambapo haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu

    Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu. Cyril
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tambua ufanisi na umuhimu mkubwa wa job Junction Tanzania

    UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION: Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees . Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Haja ya kurekebisha baadhi ya sheria ili kuongeza ufanisi wa kupambana na magonjwa ya mlipuko

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko. Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
  13. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanikisha lengo hili kwa ufanisi?

    Wakuu nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu (Allah). Kijana na mtoto wenu nimeamua kuanza ku-save(kutunza) fedha at least kwa mwezi 200,000 ili kwa miaka 4 nipate ka fedha ka kununua usafiri. Ushauri ninaoomba ni je, nitawezaje kulifanikisha hili kwa ufanisi? Najua humu kuna wakubwa zangu...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya chanjo za COVID-19 kunaongeza ufanisi

    Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini. Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
Back
Top Bottom