ufahamu

Ufahamu: A Journal of African Studies is a graduate-student run, peer-reviewed academic journal published at the University of California, Los Angeles (UCLA). It was established by the UCLA African Activist Association in 1970 and named after the Swahili word for comprehension, understanding, or being. The journal is published three times a year and is available from the University of California's eScholarship website. It is "the longest running ... graduate student journal in the United States."Ufahamu is published in English, with occasional poetry or articles in African and European languages. It is indexed in the MLA International Bibliography, Africa-Wide Information, and Historical Abstracts.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye ufahamu wa shirika la kimataifa la ICAP Global Health

    Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza. Walitangaza nafasi na deadline ishapita lakini bado hatujui kama wako kwenye mchakato wa kuita watu kwa usaili au...
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wako ungependa kujua/kushuhudia nini kabla haujatoeka...?

    Matamanio yetu hutofautiana kulingana na vile tulivyo,Muda nao hautupi nafasi kubwa ya kukata kiu ya yale matukio ambayo tungependa kuyaona. Haijalishi liwe kubwa au dogo kiasi gani,ilimradi ungependa kulijua ama kulishuhudia basi kiu chako kitakata!. Ni jambo gani hilo..? Binafsi moja ya kiu...
  3. Ghost MVP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufahamu Wa Mahusiano Na 'Red Flags'

    Watu wengi tumekuwa tukipuuza ishara mbaya katika mahusiano yetu, lakini tambua kwamba mwenzi unaemshahili atakuwa vile unahitaji. Wanawake wengine siku hizi wamekuwa wakisema wanateswa na kuendeshwa na mwanaume, kwasababu hawajui wajibu wao kwa mwanaume huyo, pale unapomuomba mpenz wako kuwa...
  4. chr1xt0pher

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na vyuo vinavyotoa degree ya Computer Science

    Habari za siku ya leo, Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science. Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni mafanikio yoyote. Pia kama kuna anayejua baadhi ya website zinazotoa course kama hizi pia naomba...
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Wa-TZ wenzangu! Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao. Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini...
  6. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

    Ni habari picha
  7. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mji wa Tarshishi(Lebanoni)

    Mji wa Tarshishi ni mji ambao ulikuwa mahali panapoitwa Tiro.. ambapo kwa sasa ni nchi ya Lebanoni… Nchi ya Lebanoni ni nchi iliyopo kaskazini mwa Israeli, kama vile Kenya ilivyo kaskazini mwa Tanzania (Na mpaka leo hiyo nchi inaitwa hivyo hivyo Lebanoni haijabadilika, inakaliwa na Waarabu...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Dan 6:16 SUV Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Luka 16:19-31 BHN “Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makosa tunayo fanya wazazi kwa watoto wetu ni kutowapa ufahamu wa kutosha tangu wakiwa wadogo

    Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu dunia. Usichoke kumfahamisha mazingira anayo ishi. Ukiamka asubuhi akikuuliza unakwenda wapi mueleze...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM Msijitoe ufahamu mtu pekee aliyekuwa nawabeba ni Magufuli! Sasa hayupo jiandaeni kisaikolojia!

    Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari alikuwa ameshajipambanua kwa wananchi kwa uchapakazi wake kuliwafanya baadhi ya watanzania kurudisha moto...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

    Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini? Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
  12. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye ufahamu na hili, nitoeni tongo tongo!

    Wana jukwaa, Mara nyingi huwa najiukiza swali sipati jibu labda kwa kuwa sio mtaalamu wa haya mambo ya intelligence. Hivi Rais anapokuwa katika ziara za kikazi au binafsi nje ya Nchi-anatumia njia gani kuhakikisha nafasi yake aipinduliwi? Unakuta Rais anatumia mwezi 1-2 nje ya Nchi, mfano...
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawafahamu tofauti ya wajibu wa Mahakama na DPP

    Tumeshuhudia watu wengi wasio na ufahamu wakisema eti kesi ya Mbowe tuiachie Mahakama iamue na kusiwekwe shinikizo la serikali kuiondoa kwa vile ni ya kubumba. Tumeona pia Bunge la EU lililaumiwa eti liache kumshinikiza Rais Samia kuondoa kesi hii kwa vile tayari iko mahakamani. Tukumbuke...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa uwongo walitungiwa hadi Amri na Mwenyezi Mungu, lakini wanasiasa wanajitoa ufahamu

    Ninawaonea huruma sana wale Waendesha Mashataka wa Serikali! Wanastrugle sana sana kuonesha kuwa akina Mbowe walikuwa na makosa ya ugaidi. Yule shahidi wa jana aliposema tu yale maneno "Mpo chini ya ulinzi kwa sababu mnajihusisha na vitendo vya ugaidi" yakawa yametofautiana na maelezo yake...
  15. Mulokozi GG

    JamiiForums Tanzania SoC01 Upendo ndani ya ufahamu

    Binadamu kama viumbe wengine duniani ni kiumbe ambaye msingi wa uwepo wake ni mabadiliko au ukuaji, zaidi ya viumbe wengine baadhi ya ukuaji wake lazima aufanye kwa hiyari yake. Ni katika kipengele cha uhiyari katika baadhi ya ukuaji alichonacho na alichopewa binadamu, ambacho endapo akikitumia...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwekeza kwenye engineering knowledge ili tupige hatua zaidi

    Ukikaa na kijana wa kiyahudi (Israeli) anachowaza ni kuvumbua, mtoto analelewa tangu mtoto kuwa yeye anaakili sana na anapaswa kuzitumia kuvumbua. Tuje kwetu kijana anahitimu degree hajaenda field na hajui atafanya kazi gani baada ya kuhitimu na hata ukimwajiri tofauti yake na form four ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mbumbumbu mnaojitoa ufahamu na kudai kupinga chanjo ya corona ni "uharibifu" uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Cheki hapa!

    Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
  18. kanonb

    JamiiForums Tanzania Hivi Ulengaji shabaha (sniping) ni kipaji au unapitia mafunzo maalumu?

    Habari wanajamvi poleni na misongo ya mawazo (tozo) na mengine mengi. Tafadhali naomba wajuvi wa mambo naomba kuuliza swali hivi hawa watu walenga shabaha (snipers ) wanapatikanaje jeshini ni mafunzo tuu au na kipaji cha mtu kinachangia? Je, training zao zipo kama za askari wa kawaida au kuna...
  19. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wanapokosa hoja za kisiasa wanakimbilia vifungu vya misahafu. Ongezeni ufahamu wa siasa

    Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na wanasiasa waliofilisika kisiasa na wanahangika sana na elimu ya dini. Safari hii Spika kaangukia pua...
  20. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

    Habari Tanzania! Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi. 1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
Back
Top Bottom