uelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa mzuri na mambo ya NECTA naomba mnisaidie nahisi nimepigwa

    Jamani naombeni msaada wenu mimi nilipotelewa na cheti cha form four mwaka 2001, tangia hapo nimekuwa nikitumia results sleep na lose report Kila mahali panapotakiwa vyeti. Ila mwezi huu kulifanyika uhakiki wamevikataa hivyo vielelezo na kunitaka necta au notangaze gazetini. Nilienda necta...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa mpana kuhusu king'amuzi hiki

    Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz. Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn...
  4. Mwendece

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kampuni ya Soila

    Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze Nashukuru
  5. Quimica

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

    Habari za usiku wanajamii Forums! Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi. Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya...
  6. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Voda Bima

    Wakuu nimekuwa nikipokea ujumbe mwingi sana toka Voda unaotaka nijiunge na huduma yao ya bima.Jana wakaenda mbali zaidi wakanipigia simu,walisema wana bima ya Ajali,Kifo,na matibabu. Nilivutiwa na ya matibabu maana walibambia nitakuwa natuma elfu 4 tu kila mwezi na nikilazwa nitatuma docs zote...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa wa haya masuala

    Habari za muda huu Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake. Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa...
  8. IKARAHANSI

    JamiiForums Tanzania Unaelewa nini kuhusu mfumo dume?

    Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la watu wengi kupinga mfumo dume kwa kusema, eti uondolewe, hawautaki na ni mfumo wa kikandamizaji. Hii imetokana na propaganda za mashirika ya Ulaya na Marekani kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO'S). Binafsi nimefanya utafiti na kugundua kuwa baadhi...
  9. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu hii program ya Continuous Professional Development (CPD) ya 2020

    Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumuacha Dotto Biteko, kumpa Bashe Kilimo na Prof. Mkenda umeonesha ukomavu na uelewa. Mchengerwa naomba urudishe kombe la taifa

    Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli. Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji. Hivyo raisi kaamua...
  12. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu aina ya Sony Exeria XZS

    Mwenye Uelewa na simu aina ya Sony Xperia Xzs Atupe review yake
  13. orturoo

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu matokeo ya darasa la saba yaliyozuiliwa (withhold)

    Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa. Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na vituo vilivyofungiwa? Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo.
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hivi vitofali vya kuchoma vya kubandika ukutani

    Mwenye uelewa na hivi vitofali vyekundu vya kubandika ukutani, vinabandikwa kwa bei gani kwa kila mita za mraba?
  15. makofia360

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo kwa mwenye uelewa

    Nilimsikia waziri mwenye dhamana na Wizara ya mambo ya ndani ambaye alitangaza kuhusu mh Rais kutoa Ajira katika idara mbali mbali za Mambo ya ndani Akasema Uhamiaji wamepewa 350 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamepewa 250 Magereza 700 Na polisi 1000 Jumla wizara nzima 2300 Kabla ya hapo IGP...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  17. Altae04

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wanaolalamikia tozo ya jengo nahisi hawana uelewa au sio wazalendo

    Mimi mara ya kwanza nilikua mpingaji mkubwa wa tozo ya jengo, nilipinga sana nikwa najiuliza kwanini tulipie kodi ya jengo hata ambao tumepanga. Lakini baada ya kujifikiria kwa kina nimeona huu ni upuuzi watanzania tumezoea kulalamika hovyo. Nimebadilika ninaunga mkono. Just imagine wabongo...
  19. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
Back
Top Bottom