uelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trubetzkoy

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa vipengele vya Katiba

    Habari, Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi. Naomba utofauti kati ya; 1. IBARA 2. IBARA NDOGO 3. KIFUNGU 4...
  2. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

    Habari wana jamii forum! Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali. Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM wengi hawana uelewa wa mambo, hawawezi kujenga hoja

    Ukimaindi Poa! Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo mngeweza kuyaeleza kwa uongo unaoleta mantiki kidogo kuliko hizi siasa za kitoto za kum-quote Mbowe...
  5. sitaki hela

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye uelewa kuhusu kufungua akaunti benki

    Kuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura, Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c?
  6. mtabe kila sekta 2009

    JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

    Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
  7. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumhamishia Mwanafunzi kabla selection za Shule hazijatoka?

    Mtoto kafanya mtihani wa darasa la Saba mkoa X, kwa sasa amehamia kimakazi mkoa y, kafaulu kwenda kidato cha kwanza. Je, inawezekana kumhamishia huku aliko kabla selection za Schule hazijatoka? Yaani selection zikitoka apangiwe shule huku aliko badala ya kule alikomalizia drsa la 7? Naomba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwatupie lawama Walimu wa Vyuo Vikuu. Mitihani ndio kipimo cha uelewa na namna mwanafunzi ataisadia jamii na Taifa lake

    Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa. Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa. Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu. Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa hawana uelewa wa kuwepo kwa makabila mengine nchini

    Niko kanda ya ziwa, Nimeshangazwa na kitu kimoja Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku. Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ukamsikia Mussa Azzan Zungu,Mwigulu Nchemba na Tarimba Abbas. Unamwona kabisa Shetani anavyokuwazia mabaya....kuanzia hapa hapa Duniani.

    Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu? Adhabu ambayo tunaipata kwa hawa watu au wa aina hii ni kubwa. Hapo bado hujamsikiliza dr...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaosema watu wasipiganie urithi ni wajinga, wasio na uelewa wa dunia

    Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria. Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe. Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga", Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
  13. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania MWENYE UELEWA NA SHIRIKA LA CWS

    Habari ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu naomba anayefahamu vzur shirika hili anifafanulie maana limetangaza baadhi ya post nataka nitupie. Nijue interview yao wanataka nini? Benefits( salary) Allowances N.k kama kuna mtu ameshapita au ana ndugu anifumbue macho
  14. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania HESLB naomba mwenye uelewa na hii changamoto

    Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
  15. Kifanya 2021

    JamiiForums Tanzania Jamani kwenye uelewa na hii kampuni anisaidie "RAISE YOURSELF TO HELP MANKIND(RYTHM)" Foundation

    Jamani kama heading inavyojieleza hapo juu, mwenye kuijua vyema hii kampuni/ foundation anielekeze vizuri. Asanteni
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa mzuri na mambo ya NECTA naomba mnisaidie nahisi nimepigwa

    Jamani naombeni msaada wenu mimi nilipotelewa na cheti cha form four mwaka 2001, tangia hapo nimekuwa nikitumia results sleep na lose report Kila mahali panapotakiwa vyeti. Ila mwezi huu kulifanyika uhakiki wamevikataa hivyo vielelezo na kunitaka necta au notangaze gazetini. Nilienda necta...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa mpana kuhusu king'amuzi hiki

    Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz. Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn...
  20. Mwendece

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu kampuni ya Soila

    Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze Nashukuru
Back
Top Bottom