MH DC
SHALOM
Tunaomba msaada wako wachimba mchanga mto Kawe wanachimba tope.
Watoto wanashindwa kwenda mashulen. Polisi Kawe wameshindwa kutusaidia wanakuja kukusanya pesa kila siku badala ya kuzuia malori
Tunaomba tusisubiri kusikia wamekufa watoto tunaomba marufuku kuchimba mto Kawe
Wako...
Watu maarufu waliowahi kula udongo.
Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja.
Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu:
Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
1. Afya ya udongo ni nini?
Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea
2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea
A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo.
Msaada, ni mazao gani hayo?
Hellow wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, muhitimu wa bachelor degree ya Agronomy kutoka SUA, baada ya masomo yangu nimewahi kufanya kazi kama field officer katka project ya kuhamasisha kilimo bora cha zao la ufuta Morogoro.
Ninao uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali kama...
Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Jifunze Urban Gardening, tumia eneo dogo, rasilimali zinazopatikana kwenye mazingira unayoishi kujipatia mbogamboga, matunda na tiba zisizokuwa na kemikali za viwandani.
Tumia mbolea za asili Kama vile samadi na mboji. Unapolazimika kutumia mbolea basi tumia mbolea za maji aina ya Com-fert; ni...
Wakuu, mimi ni mkazi wa Tandika Mwembeyanga jijini DSM, mara kadhaa nimewaona wadada na wamama wa huku Tandika wale ambao ni wajawazito wakihaha kutafuta udongo ambao huutumia kama chakula, ningependa kufahamu faida wanazozipata kwa kula udongo huo ambao huuzwa kwenye magenge kadhaa kwenye eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.