Bichwa ndani ya dryer
Member
- Sep 22, 2026
- 29
- 51
Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi weupe ,
Anauwezo wa kuvunja sheria ambazo anaona hazina maslai Kwa Taifa mfano mikataba ya kilaghai na unyonyaji
Nchi kama China, Korea kaskazini,Irani,na urusi ni mfano Bora wa nchi zenye udikteta mkubwa lakini viongozi wake wamevaa vazi la uraisi ili kujiepusha jina la udikteta ambalo kimsingi sidhani kama ni baya .ila wamesimama wima kama rula wawaruhusu ujinga ujinga na upuuzi unaoendlea kwenye inchi zinazojiita za kidemokrasia mfano hawalei ushoga, na matumizi ya dawa za kulevya ,mikataba ya kijinga kijinga kama nchi za kidemokrasia
Kwenye nchi za kidemokrasia matendo ya rushwa, uchawa na wizi wa mali za umma ,matabaka na kujibinafsisha mali za umma ,undugu katika kupeana vyeo na unafiki yamekithiri sana