Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate).
Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
Habari zenu wakuu.
Hizi ndizo kauli walizo ambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kipindi cha mitihani ya vitendo(practical). Kama ifuatavyo
1: Hiyo diagnosis inabidi tuiandikie kitabu chake yenyewe.
2: Umeona hilo koti lako lilivyo jeupe ndio kichwa chako kilivyo cheupe.
3: Hiyo dozi...
Wadau wa Kiswahili wanaweza kunielewa kwa nini nauliza hivi.
Mrisho mpoto na Mboso katika kazi ya sanaa wanakuza na kuendeleza Kiswahili kwa kasi yenye ubunifu wa hali ya juu.
Watu kama hawa ili waibukeni wengine lazima kuwa na nafasi ya kutambua mchango wao hasa wa kupewa degree yao ya...
Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe.
Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta Chang'ombe akajifunze kuendesha malori.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi...
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana...
Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3.
Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.
Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi...
https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp
Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
aliyekuwa
boss
chuo kikuu mzumbe
dkt. samia
falsafa
heshima
hizi
holela
katika
maana
phd
rais
rais samia
sababu
samia
shahada
udaktariudaktari wa heshima
uongozi
wake
Habari,
Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?
Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje?
Nawasilisha.
Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe.
Nikaweka appointment ili niende kesho yake kulitoa.
Asubuhi na mapema nikawahi hospitalini, Daktari nilekutana nae ni kijana mdogo mwenye rika la...
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Shalom,
Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu.
Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
Huu mchongo unawahusu wataalamu wa afya tabibu, daktar, nesi!
Iko hivi kuna vigezo vimewekwa na Wizara ya afya kusajili kituo cha afya iwe zahanati, kituo cha afya nk.
Sasa kuna idadi ya watalaam ukiwanao unaupgrade kituo ama kupata usajili.
Mwenye kituo hawezi kuwa na idadi ya hao watalaam...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R.
https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared
Rais wa Jamhuri...
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷
Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Uchumi kwa kutambua uongozi wake wa kipekee katika kuendeleza mageuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.