Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,874
- 12,212
Shalom,
Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu.
Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira ya kipumbavu anapochangia hoja bungeni anaachwa aongee upumbavu na Spika ananyamazia upumbavu.
Ifahamike ya kwamba Spika wa Bunge la Tanzania ndugu Tulia Ackson, pale inapotokea Wasomi na wanataaluma wa Chuo Cha SUA (Chuo kikuuu Cha kilimo Cha SUA) wakisemwa vibaya ndani ya Bunge lake Tena kwa makusudi na kwa dhamira mbaya ya kuharibu taswira ya chuo na Wasomi wa Chuo hicho ni kanakwamba anafurahia kwa kuwa yeye ni mdau wa Chuo kikuuu Cha Daresalaam (UDSM).
Huu ni upumbavu mkubwa sana, yawezekana SUA haina uwakilishi wa kutosha sana miongoni mwa wabunge na Mawaziri na nafasi nyeti.
Ni jambo la kifedhuli kwa hadhi ya kiti cha Spika mwenye hadhi ya Dr. akilea na kunyamazia upumbavu hasa kauli za kijima na za dharau dhidi ya Wasomi. Watanzania wafahamu kati ya vyuo vikuu ambavyo wanataaluma wake wanafanya vizuri kwenye machapisho ya kimataifa SUA iko juu kuliko UDSM hizo ni facts.
Labda kuna na agenda ya makusudi ya wadau wa Chuo kikuu Cha UDSM kuwatumia wabunge kuharibu taswira ya chuo Cha SUA.
Tulia Ackson ajitafakari kwa namna anafumbia macho udhalilishaji unaofanywa na wabunge wapumbavu dhidi ya SUA na Maprofesa wa chuo hiki.
Hii iwe mwisho tunasomesha ndugu zetu SUA na tunajua ubora wa SUA kitaifa na kimataifa.