Hana rahaAnataka kuja kuua ndugu zetu? Aende SUA huko
Sasa ndo shida hapoNgoja watalaamu waje ila kama kweli anapenda itabidi aongeze juhudi kweli. Mtu anayependa Udaktari matokeo yasingekua hivyo unless kuna sababu nyingine zilijitokeza.
Private vyuo gani hivyo atafitiVyuo vikubwa atatemwa tu labda private
Chuo gani watamchukua Kwa vigezo hivyo naomba nipatie kama unavijuaAende kusoma private tu
Ko hayo matokeo private gani anapata pesa so shidaWatu wana div 1.9 na wamekosa vyuo huyo kwa matokeo yake apambane sanaa
Akatoe ela vyuo vya private tena diploma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn unasema hivo kwamba division 2 ni kilaza,haifai kumjaji mtu hivyo sema yashatokea tufanyaje sasaHuyo mdogo wako ni kilaza sana kwa matokeo hayo msuli wa medicine hawezi toboa lazima adisco
CATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (CUHAS)Chuo gani watamchukua Kwa vigezo hivyo naomba nipatie kama unavijua
Kawaida tu wanachukua , wengine wataangalia vigezo vya o levelVp kwani vigezo havimruhusu hata Kwa vyuo vya private maana pesa so shida sana Kwa yeye kusoma shida ni vigezo anavyo kweli
Olevel alipata division one ya point 14Kawaida tu wanachukua , wengine wataangalia vigezo vya o level
Wengi wanasema physics hana D TCU hawatomruhusu kusoma sasa sijui una maoni gani kuhusu Hilo swalaCATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (CUHAS)
Zanzibar School of Health
MOUNT UKOMBOZI HEALTH