udaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Medical council of Tanganyika(MCT), acheni kuonea vijana wa wanaomaliza udaktari

    Kwanza nikiwa kama mzazi niwape pole sana mamia kwa maelfu wa vijana wanaomaliza udaktari katika vyuo mbalimbali hapa nchini,kwa sababu ni wahanga wakubwa wa hii kitu inaitwa MCT. Mchakato wa kumpata daktari unajulikana na ni mgumu sana kwani mtu kufikia kumaliza miaka mitano ya udaktari wa...
  2. einstein tesla

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote au ufadhili wa masomo

    Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili Nipo dar-es-salaam Nimepitia jkt Nina ufaulu wa division I-9 Niko pia vizuri kwenye kutumia computer Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada...
  3. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Fact Check: Chuo kilichompa udaktari wa heshima Mbunge Musukuma ni cha kitapeli, hakiko authentic

    Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli(rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online.Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

    Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito. Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo! Yaaan madogo wangekuwa washachomoka! Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mama yangu alinikataza kusomea Udaktari

    Katika mambo ambayo huwa siyasahau ni hili. Mama yangu ndugu zake kadhaa wamesomea udaktari. Na hata jina alilonipatia mimi nila baba yake ambaye mpaka sasa ni daktari. Lakini pia mara mimi baada ya kuzaliwa na kupatiwa jina hilo la huyo baba yake, nilianza kuitwa jina la utani Dokta, Dokta...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

    Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uhandisi ndiyo fani pekee duniani inayotoa majibu halisi kwa walaji tofauti na udaktari ambao umeshindwa kuichambua chanjo ya COVID-19 ieleweke

    Tofauti na fani za wahandisi ambao majengo na mitambo yao huwa wanatuonesha maelezo yaliyobaya/michoro yenye uhalisia wa ndani (interior design) ambazo hujibu kiu ya watumiaji kiuhalisia na kitaalam! Janga la corona limekuja kuweka ombwe katika sekta ya afya kwa mabingwa wetu kuonekana bado...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nachelea kukubali Udaktari uliopo ndani ya Hamis Kigwangalla

    Zamani tuliamini na kunasibisha matendo ya wasomi na tabia zao. Ila naangalia mwenendo, matendo na maisha ya Hamis Kigwangala yananifanya nijiulize kuwa Daktari ni uwezo wa akili kupambanua mambo au inategemea na kufanya mitihani ya darasani? Unapokuwa na Daktari ambaye kila jukumu...
  11. namriny

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuamue kubaki na fani ya Ualimu na Udaktari

    Habari, Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi. Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na...
Back
Top Bottom