uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tume mpya ya uchunguzi: Hatua ya kuunganisha Taifa

    Na Mwandishi maalum Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuhusu kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi itakayochunguza kwa kina yale yaliyobainishwa kwenye ripoti ya Tume ya Rais ya iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025...
  2. JamiiForums Tanzania UDOM yaongoza juhudi za Kitaifa kuimarisha huduma za Afya kupitia POCUS na Akili unde (AI)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Kikao hicho kilifanyika...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  4. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Kisayansi Wakanusha Madai

    Vilevile, Tume iliwashirikisha wataalamu mbalimbali ili kufanya uchunguzi wa kisayansi kuhusu madai hayo ikiwa ni pamoja na picha ya satelaiti iliyotumika. Maoni ya wataalam hao, wakiwemo wa uchambuzi wa mbali na mifumo ya Taarifa za Kijiografia (Remote Sensing and Geographic Information...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA nao waunde tume Yao ya uchunguzi

    CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
  6. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi Oktoba 29: Ripoti Huru

    AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
  7. JamiiForums Tanzania Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: 1. Chanzo cha machafuko Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria za tume ya uchunguzi Tanzania

    Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna...
  10. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za Mtumishi wa Sekou Toure kulazimisha watu wanunue majeneza kwake

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa kutumia nafasi yake kujineemesha binafsi na kuwakwaza wenye uhitaji wanaofika kazini kwake, Mkuu wa Mkoa...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli yenye Bendera ya Kenya yazuiliwa Tanzania, KMA yathibitisha uchunguzi unaendelea

    Mamlaka ya Usafiri wa Majini Kenya, Kenya Maritime Authority (KMA), imethibitisha kuwa meli yenye bendera ya Kenya imezuiliwa nchini Tanzania, huku uchunguzi ukianzishwa kubaini chanzo cha tukio hilo. Katika taarifa rasmi, KMA ilisema meli hiyo, inayojulikana kama M/V Sea Mfalme, inashikiliwa...
  12. JamiiForums Tanzania UDOM: Madai ya Walinzi wa geti la kuingia chuo kuchukua fedha kwa Bajaj na Bodaboda yanafanyiwa uchunguzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Maafisa Usalama wanaosimama katika geti la kuingia Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuwasumbua wanaopita hapo hasa Boidaboda na baadhi kuwataka watoe fedha taslim, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo hicho. Mdau alihoji uhalali wa fedha...
  13. JamiiForums Tanzania Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu nchi

    Mtaalamu wa Masuala ya Katiba na Sera Wakili Edson Kilatu ameeleza wasiwasi wake, na kutilia shaka kuhusu utendaji wa 'Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)' Nchini akidai kwamba akidai kwamba uhuru iliyopewa Tume hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria hautumiki ipasavyo Akihojiwa na...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza uchunguzi wa mfumo wa upatikanaji wa dawa hospitalini

    WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea Oktoba 29, 2025

    Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo...
  18. JamiiForums Tanzania BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Vatican yasisitiza kufanyika kwa uchunguzi huru kufuatia mauaji ya Oktoba 2025

    Kutokana na upotoshaji wa baadhi ya watu kuhusiana na ziara ya Waziri Kombo, huko Vatican; Vatican na Kanisa Katoliki Tanzania kwa kupitia taasisi yake za Kanisa, ya Wasomi wataalam, imetoa ufafanuzi kuepusha upotoshaji: 1. Waziri Kombo alimweleza Papa kuwa Samia ameunda tume kuchunguza matukio...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yajue yatakayokuwa Matokeo ya Tume ya mchongo ya Uchunguzi wa Mauaji/Vurugu za 29 Oktoba, 2025

    1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC. 2. Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hawakutoa amri za kuamuru kuuwawa kwa Wananchi- Hili litasemwa ili kuwaepusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…