uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 888I

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi unaweza kuchukua miezi na mwaka na majibu yakawa mepesi au kusitokee ila ushindi wa Rais ukawa siku mbili

    Leo tukisema wanakuja haraka kujibu na kuja ushaidi wa haraka. Mwenzetu naona kaleta swali ambalo asilimia 98 hata POLL ya mfumo kwenye JF na sehemu nyengine ijatumika ila wao walikuwa ni Ai.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  4. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya uchunguzi is officially jobless

    Tume yao haina kazi tena. Majibu yote kuanzia nguvu iliyotumika mpaka aliyetoa order wameyapata leo Waendelee kula pension tu
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mchunguzi anayekuja kuchunguza Tanzania sio mashirika ya kimataifa wala nani bali ni ICC pekee. Huyu atachunguza mpaka tume ya uchunguzi

    Mchunguzi anayekuja kuchunguza Tanzania sio mashirika ya kimataifa wala nani bali ni ICC pekee huyu atachunguza mpaka hiyo tume ya uchunguzi ya Samia Huyu mchunguzi na yeye anakuja na satellite, mtasikia mengi zaidi akiianza kazi, huenda kuna makaburi mengi zaidi ya halaiki Huyu atachunguza...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

    Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha. Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi. Ikumbukwe...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wenje: Idadi ya vifo vinavyoripotiwa havijathibitishwa, tayari serikali imeweka mikakati ya uchunguzi na maridhiano

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN: Madaktari waliambiwa na polisi wasitibu waliojeruhiwa, bali wawapeleke Mochwari wafie huko!

    Wakuu, Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itamke, pale ambapo senti ya serikali imetumika kwenye Tume ya Uchunguzi, ripoti lazima iwekwe wazi

    Ya Mzee Kibao ilisemaje? Huyu Jaji Othman ashaandika ripoti ngapi kwa mfano? Ziko wapi? Au huyo Balozi Ombeni Sefue, mshamsikia kwenye matume mangapi ? Ziko wapi ripoti alizoshiriki? Kwa nn huwa hawadai ripoti zao zifanyiwe kazi kama ambavyo Jaji Warioba anaishi akihubiri rasimu ya Katiba...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi

    Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi.
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kujiundia tume ya uchunguzi wakati yeye na chama chake ndiyo chanzo cha yote

    Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tume ya Uchunguzi ndiyo italeta ajenda kwenye Tume ya Maridhiano

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi? Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sheria ndiyo imenipa mamlaka kuunda tume kufanya uchunguzi

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji uchaguzi huru au uchunguzi huru?

    Serikali imekuja na gea ya kutaka maridhiano. Je, tunaanzaje wakati walioumiza wenzao ndiyo wamejipa mamlaka ya kusamehe? Nani anamsamehe nani bila kujua nani alifanya nini na kwanini?
Back
Top Bottom