Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu.
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
Wakuu,
Mara baada ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali bungeni mwaka wa fedha 2025/26 kumekuwa na maoni ya wadau mbalimbali kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings) ambapo wataalamu wa masuala ya uchumi wanaonesha kuwa na wasisi dhidi ya pendekezo...
Marekan ni Ulaya ni Viongozi wa Dunia kiuchumi na itabaki hivo !!.
RAIS kujifanya Et Tanzania inafanya vizuri kiuchumi kuliko Marekan na Ulaya ,HUO NI UONGOOOOOO MTUPU
Kahamisha Uhusiano wake Kwa Mashariki, Wachina, Urusi, Korea, ndio maana anawaponda Wamagharibi , na anazuga kutowagusa...
Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake.
Tukianza na nchi ya Marekani
Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024
GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni
Idadi...
Katika jamii nyingi, nyumba za ibada zimekuwa zikizingatia mafundisho ya Kiroho pekee. Maisha ya Kiroho ni muhimu sana, lakini hayawezi kutenganishwa na maisha ya kila siku, hasa yale yanayohusu uchumi na fedha. Mtu anaweza kuwa mcha Mungu wa kweli, lakini bado akahangaika na madeni au kukosa...
Kuna watu wanaitwa 'ECONOMIC HITMEN". Hawa ni wataalamu wa uchumi wa mataifa ya Ulaya, Uarabuni, na Taifa la Marekani ambao kazi yao Pekee ni kujenga urafiki wa karibu na Marais na watawala wa nchi za Africa na America ya Kusini.
Baada ya kujenga urafiki na ukaribu na Marais pamoja na...
DENI LA TAIFA
Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu.
Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni.
Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH.
Wakati JK anaingia...
Ni jambo la aibu na fedheha ya kiuchumi kwamba deni la taifa limepaa kutoka TSh 55 trilioni hadi TSh 107 trilioni — ongezeko la zaidi ya 95% ndani ya kipindi kifupi, bila corresponding economic output au productive returns. Hili ni deni ambalo kimsingi limekuwa mzigo kwa taifa, kwani fiscal...
Kuna vitu na mambo ukiyatafakari yanaumiza na kutia hasira mnoo.
Hii nchi ina laana?
Nini logic ya deni la taifa kuzidi kuongezeka kwa speed ya ajabu kuliko kipindi kingine chochote na wakati huo huo uwezo wetu wa kinchi kuwa na mapato na kukua kiuchumi ukielezwa kuwa juu kuliko kipindi kingine...
Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka mambo hadharani kwa msisitizo mkubwa akitaja sekta tano zilizoshika hatamu kwa kasi ya ukuaji wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonyesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.
Akitoa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka...
Nimejaribu kuwaza sana, baada ya kuwa na watoto kadhaa kwa hizi pisi kali zangu.
Nikaona njia ya kuwaweka pamoja leo na kesho ni kuwashirikisha katika kutekeleza mawazo yangu kibiashara, ili wao na watoto wao waweze kupata chochote pamoja na kujivunia kuwa na mwanaume mwenye upeo wa kuona...
TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
MRADI WA KUSAMBAZA MBEGU ZA KISASA ZA MIKAHAWA JIMBONI BIHARAMULO NDIO MWAROBAINI WA UCHUMI WA KIJANI .
Kahawa inakamilisha dhahabu ya kijani kwa wanabiharamulo kujikwamua baada ya zao la ndizi na kuinua uchumi wa kijani
Kama unafukiri umepitwa na mradi huu usiogope miche ipo ya kutosha na...
Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums
Na: Mwandishi wa Uchumi 360
Je, tunaishi au tunapumulia tu?
Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi
"Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050.
Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi(Amcos)Kijiji cha Gula,Masanja Mboje(36)baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne.Mei20,2025 na Hakimu Mkazi wa...
Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care.
Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata?
Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu.
Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.