Katika hafla fupi ya kuapishwa kwa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa wziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika leo November 14, 2025 jijini Dodoma, Mwanamashairi na msanii maarufu kwa kughani Mrisho Mpoto ameonekana katika hafla hiyo akitumbuiza kwa kueleza sifa za Rais Samia.
Namibia imekuwa mfano kwa jinsi nchi inavyoweza kuonyesha nidhamu ya kifedha kwa vitendo. Hatua ya hivi karibuni ya serikali ya Namibia kulipa deni la Eurobond lenye thamani ya dola milioni 750 imeweka rekodi kama ulipaji mkubwa zaidi wa deni katika historia ya taifa hilo. Kwa hatua hiyo...
Kwa sasa njia kubwa zaidi ya kuonesha kupinga mauaji ya Watanzania wenzetu na utawala dhalimu wa mabavu wa CCM ambao haujapewa ridhaa na dhamana ya raia ni kususia bidhaa na huduma zote zenye uhusiano na CCM hasa zisizo za ulazima au zenye mbadala.
Silaha mojawapo muhimu kwa watu waovu ni...
Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo.
Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee kuila Tanganyika.
Nawahakikishia. Kwa ushenzi mlioufanya mwaka huu jueni tu Revolution wont be...
Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na dola umejitahidi Lakin jiangalie sana buana mkubwa tafuta washauri wazuri wa Uchumi kama Mpango...
Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika.
Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha dola billion 20 kuukomboa.
Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa...
Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
Hivi sasa Tanzania ina miaka Zaidi 60 tokea tupate Independence, ina wasomi mbalimbali na wataalamu kwenye different sectors.
kwa mujibu wa sensa ya 2022 umri kati 18-35 ni 77% ya watu wote nchini. eeh nguvu kazi ni ya kutosha.
kupitia vyuo vikuu , vyuo vya kati, ufundi(VETA), SIDO na...
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata...
Ukifatilia Jijini Daslama na kuchungulia parking za watu , unaona kabisa huu ni utakatishaji wa Pesa.
Kwakuwa hakuna biashara ya muajiriwa wa serikili kumiliki Lamborghini. Bugatti, n.k
Magari ambayo ni zero kilometers.
Na yenye thamani ya Billions of money.
Yaani wameamua kutakatisha Pesa...
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.
Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.
Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
Hawa wafanyabiashara wanaousapoti Ccm sio kwa Bahati Mbaya.
Kuna mambo mawili.
-Kuweka mazingira sawa ya biashara zao.
- kuendelea kushikililia Uchumi zaidi na kukua kibiashara.
Na mwisho Kupata tenda, kwakuwa inajulikana wazi kuwa tenda za Serikali zinalipa vizuri.
Kwahiyo hata wewe...
Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini
Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .
Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k
Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.