uchumi

  1. Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

    Nawasalimu kwa jina la JMT, na ni matumaini yangu Kazi inaendelea. Mwezi uliopita China ilitoa certificate of clearance kwa makampuni zaidi ya 300 ya Tanzania kuingiza na kuuza bidhaa mbalimbali Nchini mwao bila kikwazo na ushuru wowote. Uingereza nayo imeungana na China kwa kuruhusu asilimia...
  2. Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
  3. K

    SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  4. SoC02 Uchumi Tanzania

    Nianze kwa kutoa pongezi na shukrani za dhati kwa serikali ya awamu ya sita (6) ikiongozwa na Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kupambana na hali ya uchumi wa nchi yetu kila siku. Ningependa kujikita katika sekta ya uchumi maana ndiyo inayopambaniwa sana kwa sasa ,Kama mwananchi mwenye...
  5. S

    SoC02 Maendeleo ya uchumi wa mtu binafsi katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika

    Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja mmoja katika taifa Wakiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi Tunaweza kukuza uchumi wa nchi pia. Kwa...
  6. C

    Idadi kubwa ya watoto katika familia hudumaza uchumi wa familia

    ''Penye miti mingi, hapana wanjenzi'' Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi. Tukiongelea suala la miti...
  7. Peru: Polisi wavamia nyumba ya Rais ya Mapumziko kumsaka Shemeji yake anayetuhumiwa kwa uhujumu uchumi

    Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka. Yenifer anayetajwa kuishi nyumbani kwa Rais huyo ni mtu wa nne kuchunguzwa miongoni mwa watu wake wa...
  8. Uchumi wa Kisasa

    Sera za kigeni, za mataifa mbalimbali ma kubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kiuchumi na kimaendeleo zimejikita katika, kutengeneza uhusiano mzuri kwenye uwanja wa mahusiano ya kimataifa, hili waweze kupata kiuraisi rasilimali ambazo hazipatikani kwa wingi au hazipo kabisa kwenye...
  9. Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  10. Maneno yanavyoathiri uchumi wako

    Ipo nguvu katika maneno. Maneno yanaumba. Ukweli ni kwamba maneno yanauwezo mkubwa sana wa kuathiri maisha ya mtu iwe ni chanya+ au katika mwelekeo Hasi- kwa sababu Imani ya mtu katika jambo fulani huja kwa kusikia au tuseme miongoni mwa njia za kujifunzia ni kwa kusikia. Kama tunavyojifunza...
  11. M

    Shairi: Afya ya uchumi

    Habari yenu jamii, mko salama jamani, inaniuma namimi, twapotea hasirani, twakosa tiba kwanini, nchi ni yako namimi, leo nahitaji nipate, afya ya uchumi. watu wanahangaika, ajira zionekani, serikali kutoweka, fursa kazi hadharani, watu kazi wanataka, huishia wizi mtaani, kwanini ajira hazipo...
  12. D

    SoC02 Uchumi: Siri ya mafanikio ya kudumu

    Siri ya Mafanikio ya Kudumu Maisha ni vita. Hasa wakati uchumi ndio hoja kuu. Hivyo ni muhimu kuwa na nyenzo za ushindi. Nyenzo kuu itakayo kupa nafasi ya kupata ushindi, tena wa kudumu, ni kujitambua. Mapambano ya maisha ni endelevu na yenye kubadilika mara kwa mara. Kwa wale wanao jitambua...
  13. N

    Kwanini Tanzania na Uganda ni marafiki

    Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya Tanzania inakuwa yenye tija kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu lakini pia katika kuimarisha umoja wa...
  14. Rais Samia anavyotekeleza kwa vitendo sera ya Diplomasia ya Uchumi

    Na Chacha Wangwe Jr Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya Tanzania inakuwa yenye tija kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu lakini pia...
  15. V

    SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  16. SoC02 Michezo ya kamari inavyoathiri ukuaji wa uchumi kwa vijana

    Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana kuhusu uhalali wake. Asilimia kubwa ya washiriki hasa katika mchezo huo ni vijana ambao wanakuwa...
  17. SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Africa, ni moja ya bara lenye rasilimali nyingi, licha ya kuwa na rasilimali nyingi Africa bado inatambulika kama bara lenye uchumi wa tatu. Moja ya sababu kubwa inayoifanya Africa ishindwe kukuwa kiuchumi ni kukosa muunganiko wa soko. Ukitizama mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yote yanasifa...
  18. SoC02 Tanzania haijachelewa kuufikia uchumi wa Viwanda

    Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo ya viwanda ndio njia pekee itakayoiwezesha Tanzania kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi yatakayo...
  19. SoC02 Zanzibar Na uchumi wa buluu (Blue Economy)

    Zanzibar ianze na lipi kuelekea uchumi wa buluu wenye tija ? Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Dira yake ya maendeleo ya mwaka 2050 miongoni mwa yaliyopewa kupaombele ni pamoja na sera ya uchumi wa buluu. Katika Dira ya maendeleo ya mwaka 2020 ambayo ilitekelezwa ndani ya miaka 20...
  20. Maisha na uchumi

    Uchumi na maisha Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika wengi huish kwa siku, wiki , miezi, miaka , muongo na hata karne. Maisha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…