Maskati ni Kata inayopatikana upande wa Kaskazini Mashariki Mwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Wakazi wa Kata hii kwa kiasi kikubwa huishi kwa kutegemea shughuli za Kilimo hasahasa kilimo Cha Mahindi na Maharage.
Mazao mengine kama vile Ndizi, Mihogo, Kahawa, viazi, Njegere,nk. ingawa...