uchochezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Usalama wa maisha ya Peter Madeleka uko hatarini Gerezani kisongo, Arusha!

    .
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Milembe huko Geita ni mauaji kama mengine, wanaharakati acheni uchochezi

    Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila. Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine. Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga? Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga? Wafanyabiashara...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Msemaji wa Chama cha Upinzani apigwa faini kwa kusambaza taarifa za Uchochezi

    Mahakama Nchini Zimbabwe imemtoza Fadzayi Mahere ambaye ni mwanasheria na mwanachama wa Chama cha Wananchi (CCC), faini ya Dola za Marekani 500 (Tsh. Milioni 1.17) baada ya kumkuta na hatia ya kusambaza taarifa zilizotajwa kuwa ni uongo kupitia Twitter. Mahere alikamatwa miaka miwili iliyopita...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

    Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM. Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi. Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua. Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa...
  5. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

    Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani. Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho. Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani awasili Taiwan kwa ndege ya Kijeshi, Urusi yadai ni uchochezi

    Licha ya vitisho kutoka kwa China, Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi amewasili katika Kisiwa cha Taiwan. Amewasili kwa kutumia ndege ya Jeshi ambayo ilitokea Malaysia alipokuwa katika ziara kisha kutumia njia ndefu ili kuikwepa bahari ya Kusini ya China. Aidha, Urusi imeshutumu ziara...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge Watatu wa CCM wahojiwa polisi kwa uchochezi Ngorongoro

    Wabunge 3 wa CCM akiwemo mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, Prof Kitila Mkumbo na Christopher Olesendeka wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za Kufanya uchochezi, kupanga njama na wananchi wasitii maagizo ya Serikali Loliondo. Kamanda wa Polisi Dodoma, amesema hana taarifa hizo. Pia soma -...
  11. broken ages

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro uchochezi unatokea wapi?

    kinachoendelea Ngorongoro ni vita vya kiuchumi hivyo Watanzania tunapaswa kufungua macho kwa sababu siamini kama serikali itaonea ama itapenda kuumiza raia wake bila sababu ya msingi. Kwa maana kuna taarifa kwamba serikali iliandaa eneo huko Handeni kwa ajili ya kuwahamishia huko Wamasai kutoka...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Serikali inafanya makosa kutomfunga jela Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi anayofanya. Afungwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho

    Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo. Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Zanzibar: Sheria ya uchochezi ipitiwe upya, ina mianya mingi ya kutumika vibaya

    Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapo jana Machi 28, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uchochezi haifanyi kazi kwa Spika nje ya Bunge?

    Kusema nchi itapigwa mnada na mtu mkubwa mwenye taarifa nyingi kuhusu nchi haitoshi kuwachochea watu wavunje Sheria? Haitoshi kuwatia watu taharuki na hofu kubwa? Haitoshi kuchocbea mapinduzi? Haitoshi kuitwa uhaini? DPP hii ni kawaida?
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

    Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa. ======== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Kama huu ni Uchochezi wa Vitali Maembe, basi Watanzania wengi ni Wachochezi

    Kama huu ndio uchochezi, basi wananchi wengi ni wachochezi. Huu ndo wimbo unaotumika kutaka kumuangamiza Vitali Maembe,pamoja na "nyimbo nyingine". Sambaza Link ya Wimbo huu ili umma uamue kama anastahiki kuhukumiwa au kutuzwa.
  20. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Nimesoma maandiko ya ndugu yangu Mohamed Said aliyoyaweka katika kitabu chake akiitacho Historia ya Uhuru upande wa Pili. Katika maandishi yake ameonyesha wazi kulazimisha dunia iamini kuwa waislamu wamedhulumiwa katika historia ya Uhuru wa nchi hii, Katika matakwa yake Mohamed Said anataka...
Back
Top Bottom