uchochezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Katiba tuliyonayo haitoi tafsiri yoyote kuhusu uchochezi

    Wanabodi, Mengi yametokea katika kinyang'anyiro hiki cha kudai tume huru na katiba mpya na mengi yatazidi kutokea. Hatujapata uamuzi wowote ila ni vyema kama tungetupia jicho kwenye katiba tuliyonayo sasa hivi kupata tafsiri ya yanayoendelea. Zimepita siku chache tangia mwenyekiti wa baraza...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

    Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi, kwani si jambo geni humu na litaunganisha uzi na nyuzi zingine kama hizo. Mods Nakimbilia moja kwa moja...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Chama kimoja nchini siyo demokrasia. Mfumo wa vyama vingi inatafsiriwa ni uchochezi

    Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi. Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
  4. Nguruka

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vya siasa vifanye siasa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuepuka lugha za uchochezi, dhihaka, dharau, vitisho na matusi

    Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi. UPDATE: JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi...
Back
Top Bottom