uchimbaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mzeewangese

    JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa maduka ya chini kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka unatajwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa jengo kariakoo

    Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka. "Tulianza kusikia kelele za mtikisiko, kisha kwa ghafla jengo zima likaanguka. Wananchi wameshindwa kujiokoa na...
  3. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Askari Metals iliyopata kibali uchimbaji wa Urani Dodoma kupitia Eyasi Uranium Project inamilikiwa na nani?

    Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH. Kwa kuanza, kampuni hiyo itafanya utafiti wa sampuli za miamba na geographia kabla ya kuanza uchimbaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Visiwani kuanza uchimbaji gesi kabla ya LNG ya Lindi?

    Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...... Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa Visima Virefu vya Maji Umeanza Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa uchimbaji wa visima virefu vya maji ukianza kazi kwenye Kata ya Bugwema ya Jimboni mwetu. Jimbo letu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  8. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji Wa mchanga ndani ya mto Msimbazi Ulongoni B

    Wakuu Habari za uzima? poleni na harakati za kuendelea kulijenga Taifa letu. Kuna jambo nahitaji kuliandika hapa ili wenye mamlaka watusaidie kutupa ufafanuzi. Kwa muda sasa wakazi wa Ulongoni B Karibu na darajani mtakubaliana na mimi kumekuwa na gari aina ya kijiko kikichimba mchanga ndani ya...
  9. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  10. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Jiolojia ya Uchimbaji Madini Inayotumika

    "Jiolojia ya Uchimbaji Madini ni eneo maalum la sayansi ya jiolojia ambalo limejitengeneza kihistoria kama msaada kwa migodi inayoendeshwa na kwa tathmini ya miradi ya uchimbaji. lengo kuu la jiolojia ya uchimbaji madini ni kutoa taarifa za kijiolojia kwa undani, na kufanya tafiti za kiufundi na...
  11. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Teknolojia( Nature of offshore geotechnical engineering) ya uchimbaji mafuta na gesi unavotumika baharini.

    Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
  12. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Tengeneza umakini kwenye uchimbaji wa madini kwa mfumo wa the exploration or prospect wastage curve

    Changamoto nyingi kwa wachimbaji wa madini wamekuwa wakitumia njia sio sahihi na kufanya sekta hii kuonekana kuwa ya kubahatisha kwa wachache. Je, nini kinatumika kabla? MINING GEOLOGY IT imekuletea kitu chakufanya kabla kuingia kwenye uchimbaji: Mfano wa "exploration or prospect wastage...
  13. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kwenye uchimbaji ni lazima kujua jiolojia ya kina cha miamba kwenye upatikanaji wa madini

    Kwa nini tunataka ili? Ndio, katika uchimbaji wa madini, uelewa wa jiolojia ya kina cha miamba ni muhimu sana. Jiolojia ya kina cha miamba inaweza kusaidia katika kutambua maeneo yenye uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa madini, kuelewa muundo wa miamba, na kubaini mifumo ya matabaka yenye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Barrick Bulyanhulu waongezewa muda wa leseni ya uchimbaji

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba (kushoto) akimkabidhi leseni ya kuongezewa muda wa uchimbaji wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido katika hafla hiyo , wanaoshuhudia nyuma (kushoto) ni Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde na Mkuu wa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi azindua fursa za uchimbaji mafuta na gesi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
  16. BigWallet

    JamiiForums Tanzania Nisome 'short courses' zipi ili kuweza kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya uchimbaji madini?

    Hello wanajukwaa, Kichwa cha habari chahusika. Mining industry. Ninapenda sana kazi za migodini, at management level. Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically...
  17. nguvumali

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa michanga mto msimbazi

    Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo. Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe Yaliyopo Ludewa Njombe Kati ya Wawekezaji wa Ndani na Shirika la Taifa la Maendeleo

    Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua programu ya uchimbaji wa visima 67,800

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo 67,850 kwa nchi nzima vitakavyowezesha hekari 2,7014,000 kufikiwa na mfumo wa umwagiliaji. Akitoa maelezo kwa Rais Samia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe ya wakulima nane nane kwenye viwanja...
Back
Top Bottom