Nisome 'short courses' zipi ili kuweza kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya uchimbaji madini?

BigWallet

Member
Dec 17, 2023
8
3
Hello wanajukwaa,

Kichwa cha habari chahusika. Mining industry.

Ninapenda sana kazi za migodini, at management level.

Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically maeneo ya Geita au Katoro au Kahama. Migodi mikubwa kama vile GGM, Buckreef, Buzwagi, and the like.

Hivyo basi, kwa wajuzi na wabobezi wa mining industry, naombeni maoni yenu na ushauri...

Nisomee 'short courses' zipi ili kujenga qualifications na skills za kuweza kunipenyeza katika managerial positions kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors?

My academic background history kwasasa:

✓ Ordinary secondary education.
✓ Advanced secondary education.
✓ Diploma in Law.

Skills with experience:

✓ Computer literacy.
✓ Certified Driving (basic level).
✓ Report writing.

Language competence:

✓ Swahili - mother tongue.
✓ English - fluent in written, ordinary in spoken.
✓ French - beginner.

Work experience:

✓ 2013 - 2018 - Project officer at a Non-Governmental Organization based in Dar.
✓ 2019 to date - Production Manager (at a Gold mine with Primary Mining Licences) based in Geita region.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu na kwa wengine wenye malengo ya kufanana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom