Eti ni kweli uchawi huwa hauvuki bahari?

Eti ni kweli uchawi huwa hauvuki bahari?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,989
Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
 
Nani ka kwambia .watu wanarogwa wapo ulaya ili warudi ma kwao au una maanisha samia hawezi kurogwa
 
Ukijjiingiza katika utambuzi wa mambo haya basi umasikini unakuvuta taratibu huku roho mbaya ikiwa blanket yako, majungu yakiwa mto wako na hofu itakuwa kitanda chako.
 
Haya mambo siyaamini hadi siku nikutane na mchawi mwenyewe live
 
Back
Top Bottom