Uchawi, budha, Islamic, ukristo, Jewish, shinto nk

nbayoungboy never broken

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2025
Posts
383
Reaction score
370
In short m sijihusishi na dini yoyote hapo juu kuna ile kasumba ya wafasi kujiona wao bora na kuwaita wenzao majina yasio faa.

Mnakosea sana kwa mtazamo wangu usije kumvunjia vyungu vya uchawi mtu angalia pita hivi sababu vinamnufaisha yeye sasa kumuona mwenzako pepo ni hakili ndogo tu

Mimi naamni maisha hapa duniani ishi vizuri saidia watu nk badae kufa sasa kuweni na dharau na watu ipo siku jasho litawatoka: kwa mtazamo tu
 
Da!!! mwanangu hayajakukuta mambo,,,omba MUNGU usiishi jirani na MCHAWI!!!,,,,wanatesa sana!!
 
Back
Top Bottom