uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yatupilia mbali shauri la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti. Wapinga...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Trump Ataka Kupitishwa kwa “Save America Act” Ili Kulinda Mfumo wa Uchaguzi na Sera za Kijamii

    Kumekuwa na mjadala mkubwa nchini United States kufuatia wito wa kupitishwa kwa sheria mpya inayojulikana kama “Save America Act.” Sheria hii inapendekezwa na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, ambaye amesisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha uadilifu wa uchaguzi pamoja na kulinda...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wadau wajadili hasara kuzimwa intaneti wakati wa uchaguzi

    KUZIMWA kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumelisababishia Taifa hasara ya dola za Marekani milioni 238, sawa na takribani Sh. bilioni 560, kwa mujibu wa ripoti mpya ya utawala wa kidijitali. Takwimu hizo zimetolewa na Ofisa Sera na Teknolojia wa Tech, Media Convergency (TMC)...
  5. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Msajili amtaka Profesa Lipumba na wenzake warudie uchaguzi CUF

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee

    Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee. Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi za kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 Zanzibar, zakutana na kikwazo Mahakamani

    https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo. Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar inazidi kuwa na mazingira yasio na mpangilio. Viongozi wana hofu au wanaogopa Wananchi baada ya Uchaguzi wa 2025?

    Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi. Hii imesababisha mji kuwa mchafu sana, tunajenga barabara nzuri lakini mabanda kila mahali, ukienda Mbezi Mwisho...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote

    Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote. Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi anaumwa tumbo hajafika tuhairishe kesi.
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania Rais samia: Nampongeza Museveni kwa ushindi mkubwa wa Uchaguzi

  13. B

    JamiiForums Tanzania Zile nafasi za kazi zilizotangazwa karibia na uchaguzi mkuu zimeishia wapi?

    Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb uchaguzi umekaribia. Wengi tuliomba na deadline ilikuwa Oktoba 31. Cha ajabu hatujaitwa kwenye usaili...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

    Kwasababu, ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes. Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ZEC kuwaalika wadau maalum kushuhudia kuteketeza nyaraka za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amejibu ametoa maelezo juu ya kauli zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo juu ya hatua hiyo ya ZEC kutaka kuteketeza nyaraka zote za uchaguzi wa October 2025 uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka uchaguzi ujao kwa jinsi hali ilivyo uchaguzi ujao utakuwa ni vita kubwa kubwa sana haijawai kutokea tangu...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya tusiamshane uchaguzi asubuhi, wekeni mchana mpaka jioni

    Majuzi nilichoka kabisa niliposikia mb mmoja anaongelea pilau bungen kisa ufunguzi wa meli Akitoa pt zake anasisitiza atuwezi wapa maji wananchi kwa uzinduzi wa meli ya gharama kama ile Akashauri kuwepo na ugali na wali pilau na nyati za kutosha Alijua kunachinjwa nyati zaidi ya 20 Aisee...
  19. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  20. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi atangaza Mitandao ya kijamii yote kufunguliwa rasmi leo baada ya uchaguzi

    Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
Back
Top Bottom